hivi hii kitu inawezekana camera kwenye PC

LEGE

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
5,123
9,167
wakuu natanguliza kwanza shukrani zangu kwenu. mim nilikuwa na swali au tatizo kidogo.kwani kwenye laptop huwa kuna kuwa na camera pale juu ya display je?? haiwezekani kufunga au kutengenezea au kuweka kamera kwenye pc na ikawa inagonga mzigo kama ya kwenye laptop?? na je kama inawezekanika ni vitu vipi vinahitajika ilikufanikisha zoezi hilo??
 
hiyo camera kwenye laptop inaitwa webcam, kama umewahi kutumia skype utakuwa unaelewa kazi ya hiyo webcam, kama hujawahi then hiyo camera inakusaidia kuonana uso kwa uso na watu unaowapigia simu kupitia mtandao wa internet, pia unaweza kurekodi mazingira yaliyo karibu na laptop mfano chumbani etc, zipo webcam kwa ajili ya desktop pc zinapatikana madukani
 
inawezekana kinachohitajika ni kununua external camera ambayo inakuwa na usb cable yake na pia una download driver zake kazi inakuwa imekwisha
 
mi najua kwa camera ya simu, cha muhimu ni kupata software mfano kipindi kile cha n73 na pc zisizo na webcam nilikua nafanya hivi.

Nainstall software ya mobiola both kwenye camera na pc yangu then kwa kutumia camera ya simu ndo inakua webcam. Software nyengine ni epiccam

Kwa camera za kawaida sina uhakika ila Tutorial zipo mi sjawahi kujaribu
Jaribu kutumia keyword hizi google
''HOW USE DIGITAL CAMERA WEBCAM''
 
lenovo wametoa pc ambazo cpu yake ni inbuilt kama laptop na ina webcam.nimenunua last week.
 
Back
Top Bottom