Hivi hii ' Kauli ' ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa JMT Dr. Magufuli aliyoitoa juzi TAZARA niliisikia peke yangu au naota?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,873
" Sihitaji tena Mbunge kutoka huko imetosha...wala siwahitaji "

Yawezekana labda GENTAMYCINE nikawa naota au basi pengine ' Ukichaa ' wangu umeanza kushika Kasi sasa hivyo nawaombeni tu wana JamiiForums msaada wenu je na nyie hiyo Kauli mliisikia juzi iliposemwa na Mheshimiwa Rais na Mwenyekiti Taifa wa Chama cha Mapinduzi ( CCM ) pale TAZARA alipokuwa ' akizindua ' ile barabara ' angani ' ya Mfugale?

Nawasilisha.
 
Mkuu itakuwa ulisikia vibaya au hukumuelewa,mbona aliendelea kuhamasisha kwa wengine waendelee kwenda ili walete maendeleo pamoja pia alitumia Maneno ya biblia kabisa kwa wale waliozidiwa na mizigo
 
Sasa Mbona kachukuwa tena ?!. Au huyu kajipereka!! Lakini sidhani !! Tusubiri tuone kama Serengeti watafanya kura za maoni ndani ya chama
 
Mkuu itakuwa ulisikia vibaya au hukumuelewa,mbona aliendelea kuhamasisha kwa wengine waendelee kwenda ili walete maendeleo pamoja pia alitumia Maneno ya biblia kabisa kwa wale waliozidiwa na mizigo
Hakika yalizungumzwa maneno yale ktk kunogesha wasikilizaji lkn cha ajabu na tofauti na kauli hiyo, akajicontradict kwa kuwaalika tena upande wake.
Kumbe CCM ni kama mbinguni/peponi, hakuna njaa wala mahangaiko. SO SAD! Ubaguzi wa KARNE.
 
" Sihitaji tena Mbunge kutoka huko imetosha...wala siwahitaji "

Yawezekana labda GENTAMYCINE nikawa naota au basi pengine ' Ukichaa ' wangu umeanza kushika Kasi sasa hivyo nawaombeni tu wana JamiiForums msaada wenu je na nyie hiyo Kauli mliisikia juzi iliposemwa na Mheshimiwa Rais na Mwenyekiti Taifa wa Chama cha Mapinduzi ( CCM ) pale TAZARA alipokuwa ' akizindua ' ile barabara ' angani ' ya Mfugale?

Nawasilisha.
taifa la wajinga

Usiniulize hii statement yangu inahusikaje katika mada yako

Ukiwaza utaelewa
 
Back
Top Bottom