guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,755
Wakuu poleni kwa baa la korona
Hakuna watu wasomi na wadadisi wa maandiko kama wasabato. Hakuna watu makini katika swala la lishe kama Wasabato. Hakuna watu wenye msimamo na imani yao kama Wasabato
Lakini swali langu ni moja: Ni kwanini mabinti wengi wa kisabato huzalia nyumbani kabla ya ndoa?
Kama haujawahi kufikiria hivi hebu angalia majirani zako ambao ni Wasabato.
Tujadili kwa staha penye walakini nakaribisha masahihisho.