hivi mashahidi wa Yehova na Pentecoste ni tofauti?Ni kati ya kundi ya kikristo lenye msimamo mkali nyuma ya mashahidi wa Jehova,wasomi sana biblia ukitaka kuamini ebu tembelea makanisa siku ya jumamosi
Duuh!Kuna ujinga mwingi wanafundishwa kanisani.
Kwanza wanaambiwa asiolewe na mtu asiye na kazi ya kueleweka.
Wenye kazi za kueleweka ni wachache na wengi wameshaoa tayari.
Vijana wengi wanafanya shughuli za kubangaiza au umachinga.Hata hivyo wengi wa jinsi hii ndio wanaotoboa kimaisha.Kuna wafanya biashara wakubwa wametoka kwenye kundi hili ambalo linadharauliwa na wengi wakiwemo wasabato
Pili huwa wanajengwa kuamini kuwa ni lazima waolewe na msabato mwenzao.
Sasa tatizo linakuja tena kuwa kubwa pale wanapowekewa sharia na kibano hata cha kukutana wakiwa marafiki ama wachumba.Ikitokea wakawa wanakutana kanisa linaweza kuwafuta ushirika.
Kwa hiyo unakuta kutokana na mahitaji ya mwili,binti anakuwa na muhuni huko nje na anagongwa vilivyo na mvulana anakuwa na vibinti tofauti vya kujiliwaza kila anapopata mihemko ya kihisia.Wakikutana kanisani wote wanajidai wasafi na washika sheria.Mwisho wa siku binti anajikuta kazidiwa na kudungwa mimba.Hapo anakosa ujanja
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe wanakariri vifungu na hawaviishi!Kusema wanasoma na kuiishi Bibilia ni uongo mkubwa mnoo
Usahihi ni kukariri Vifungu vya Bibilia,Mimi binafsi nilikuwa nawataza hivyo
Ila wakija mkajadiliana Kama upo vizuri kwenye Biblia ni weupe mno kichwani kuhusu Biblia na tafsiri potofu ya kuvutia upande wao na huwa wanavipenda Baadhi ya Vifungu na vitabu
Kihusu hili la mimba ukweli lipo hivyo ila wanaume ni zaidi Sana Sana ni washerati wakubwa vijana wa kisabato
Hii huchagizwa na yale makambi yao.
Huwa wanarudi na story za usinifu na wanakuwa hawana kipingamizi kwani ni wao kwa wao
Tunaishi nao motaani tunawajua
Ruksa swali bila kusahau povu tena liwe la Boom
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungekosekana penye topic za wasabato ningeshangaa sana.Makambi hayajawai kuwaacha salama
Duuhwapi palipoandikwa kwamba wanatakiwa kuzalia/kupata mtoto ukiwa ndoani tuu?
Sio kwamba hawataki kuolewa na dini zingine, bali wanashawishiwa na viongozi wao waolewe na wasabato wenzao kwa kuelezwa uzuri wa kuolewa na msabato,Sababu ni kwamba wao wanachukulia sabato ni dini sio dhehebu sasa hawataki kuolewa na watu wa madhehebu mengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa,nimeipata pichaSababu ni kwamba wao wanachukulia sabato ni dini sio dhehebu sasa hawataki kuolewa na watu wa madhehebu mengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni tofauti
Kabisa,uko sahihiWasabato wengi ni wapare na watu wa Mara na visiwa vya Ukerewe
Wengi,
Sawa mkuuZamani nilikuwa nikiwadharau saaaana single mothers, ila siku nikiyojiuliza hawa wanawake wanaofikisha 30s or 40s ni kwamba either wote hawafanyi ngono, au wamefanya ngono na hawajawai pata mimba, AU WAMEFANYA NGONO, WAKAPATA MIMBA NA KUZITOA.
Tangu siku iyo niliwaheshimu single moms, Maana walichagua kutokufanya makosa mara mbili, Yaani Kuzini na kuua.
Pili, Chanzo cha haya yote ni sisi wanaume, tumekaa kila siku kujisifia kule kwenye ule uzi wa kimasihara, lakini madhara yake ni hayo, kuwazalisha mabinti na kuwakimbia, mwanaume unakaa kwenye uchumba na binti miaka mitano af unakuja kutuambia eti hakuwahi kunasa hata mara moja?
Ni kwamba MUNGU hakuweka tu kaalama kwenye miili yetu KILA MARA TUNAPOSHAWISHI NA KUWAPA ELA WANAWAKE WETU WAKATOE MIMBA.
Tuwaheshimu hawa viumbe, maana hatuwezi kuvaa viatu vyao
In Vino Veritas (In Wine Lies the Truth)
Nitafanya hivyoNenda kwenye shule zao, sjui Ikizu, Parane, Ndembela nk. ndio utajua mambo mengi sana