THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,365
- 12,823
Habari za saa hizi,,
hii tabia ya kwamba wenzetu wamejipumzisha na mbavu zao za maisha kimahaba then wengine tena wenye mbavu za kwao wanakuja kuchungulia chungulia madirishani "kupiga chabo" kwa lugha nyingine..
Hii inawasaidia nini baadhi ya wenzetu wenye tabia hizi?kuna kipindi nilidhani ya kwamba hizi ni tabia za watu wa uswahilini,ambao hawana shule na waliokosa ustaarabu kumbe imekua ni zaidi ya hapo,,
suala la faragha ni suala nyeti sana linalohitaji staha ya watu wawili wenye ridhaa yao kwa raha zao,,sasa wewe unaongezeka kuwa wa tatu bila ridhaa yao huoni kwamba unawakosea??...
Wenye tabia hii me nawaona...
Tubadilike,usiku mwema.