Hivi hii imekaaje?

James St. Patrick

Senior Member
Jun 23, 2011
162
62
Juzi nilienda katika moja ya compus za St. Augustine University of Tanzania (SAUT) na kukuta undergraduate wanafanya registration ambapo kabla ya registration inatakiwa kwa mwenye mkopo alipe 743,000/= na ambaye hana alipe 943,000! Sasa hapa inakuja inshu kwamba hivi huyu mwenye mkopo hiyo hela ataitoa wapi na kuna sababu gani ya kuomba au kua na mkopo kwake na registration wameanza tar 12 na inasemekana mwisho ni j3, hivi hapa bodi ya mikopo haina cha kufanya kusaidia hawa iliowapa mkopo angalau wawahi kwani muda ukizidi wanataka faini ya laki 1!
 
Saut me nashndwaga kuwasoma,huwa wanawahi kufungua,matokeo yake wale wanaotegemea bodi afu wanatoka familia maskin wanabak kuteseka 2.
 
though hiyo pesa huwa refunded baada ya kuja kwa ada toka bodi lakini bado sio fair kabisa
 
Huwa wanasingizia eti chuo si cha serekali kwan hata pesa ya mkopo ukiwa nayo ni inatosha gharama za vyuo vya serikali tu si vyuo binafsi.
 
Watoto wa maskini hawana watetezi kabisa.
<br />
<br />
yaan we acha tu, watu wanalalamika lakin hawajui waanzie wap? Kama ni hivi basi mkopo haumsaidii wala haumsadii hasa katika hatua hiz ya mwanzo! Na mkopo unakua haujamsaidia maskin! Kwa kweli inatia huruma mpaka wengine wanataka kuahirisha!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom