Hivi hii hutokea peke yangu au sio peke yangu? Na je husababishwa na nini?

Inakuwaje wanajf, home of great thinkers.

Moja kwa moja katika mada.

Wadau sometimez huwa nikichili yananijiaga mawazo ya ajabu sana.

Sometimez huwa nawaonea gere sana ndege na yananijia mawazo ya kutamani kuwa ndege ili nipae juu nifurahi kwelkwel...
pia sometimes natamani kuwa samaki yani niogelee kwelkwel yani nifurahie maisha up to its climax point.
Ssa wadau hii inatokea peke yang au sipo peke yang na je inasababishwa na nn?

Kwenu wanajf View attachment 1863231

Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya kazi jishughulishe kuwa busy uache kuwaza dezo. Period
 
Inakuwaje wanajf, home of great thinkers.

Moja kwa moja katika mada.

Wadau sometimez huwa nikichili yananijiaga mawazo ya ajabu sana.

Sometimez huwa nawaonea gere sana ndege na yananijia mawazo ya kutamani kuwa ndege ili nipae juu nifurahi kwelkwel...
pia sometimes natamani kuwa samaki yani niogelee kwelkwel yani nifurahie maisha up to its climax point.
Ssa wadau hii inatokea peke yang au sipo peke yang na je inasababishwa na nn?

Kwenu wanajf View attachment 1863231

Sent using Jamii Forums mobile app
Unakuwaga na akili timamu?
 
Jikubali tongoza mwanamke usipende kununua wanaojiuza,

Unapoona binadamu mwenzio mhurumie muone kama atakufa muda did mrefu hata kama ni tajiri mhurumie

Jione wewe ni pekee hapa duniani hata kama ni masikini

Hapa nakazia kidogo........

ACHA PUNYETO
 
Ushauri mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inakuwaje wanajf, home of great thinkers.

Moja kwa moja katika mada.

Wadau sometimez huwa nikichili yananijiaga mawazo ya ajabu sana.

Sometimez huwa nawaonea gere sana ndege na yananijia mawazo ya kutamani kuwa ndege ili nipae juu nifurahi kwelkwel...
pia sometimes natamani kuwa samaki yani niogelee kwelkwel yani nifurahie maisha up to its climax point.
Ssa wadau hii inatokea peke yang au sipo peke yang na je inasababishwa na nn?

Kwenu wanajf View attachment 1863231

Sent using Jamii Forums mobile app

Mtu ndiye kiumbe bora sana kuliko viumbe wote, naye ni mwenye utashi, hivyo kutamani kuruka angani kama ndege au kuogelea kama samaki ni moja ya utashi wa kibinadamu kamwe huwezi kusikia au kuona Ndege au samaki akitamani awe kama binadamu naye awe akiendesha gari au ndege nk, hivyo kutokana na huo utashi wa aina yako ndipo wataalamu wakaunda vazi linaloitwa "sky divers suit" ambalo mtu hulivaa na kupanda sehemu iliyojuu na kujirusha chini na mara huelea angani (gliding) kama ndege, hii yote ni binadamu kutaka kujifurahisha kwa nafsi yake au ni njia moja ya kutanzua matatizo yake. Kuhusu kuogelea kama samaki, kuna Swimming suit ambazo mtu huvaa (frog man) na kuweza kuogelea kama chura au samaki, kifupi ni kwamba utashi huo wa kibinadamu, binadamu anaweza kuuiga (mimic) japo sio kwa 100% lakini ameweza na hii ndio sifa alizotuumbia Mungu kwamba kila kiumbe na sifa zake tofauti na kiumbe kingine, kamwe binadamu hawezi kuogelea sawasawa kabisa na Samaki au kuelea angani sawa kabisa na ndege au kukwea miti sawa kabisa na nyani nk, ila tunaweza kuunda ndege (aeroplane) kwa kumuiga ndege (bird) kiumbe wa Mungu nk.

Binadamu atabaki kuwa the best of all creatures, non living and living ones.
 
Naona kama kuna ukweli ndani yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom