under_score
Senior Member
- Nov 2, 2011
- 190
- 45
.... yani mtoto wa dada yangu ye ananiita mimi "mjomba" na mi namwita yeye "mpwa wangu", sasa ngoma inayokuja kuntatiza ni pale mtoto wangu anapomwita dada yangu "shangazi", kwa hiyo dadangu nae sasa amwite vipi huyo mtoto wangu, atamwita ni "mpwa" pia, au ...