Hivi hii hali huwa inanitokea peke yangu ama!?

Una Rundo la watu lakini wajua kabisa si company ya kweli kwako.

Una rundo la watu lakini wapata tetesi wanakusimanga.

Una rundo la watu ukiwa na shida hawana msaada ingawa wao wakiwa na shida huwa unawasaidia
 
Una Rundo la watu lakini wajua kabisa si company ya kweli kwako.

Una rundo la watu lakini wapata tetesi wanakusimanga.

Una rundo la watu ukiwa na shida hawana msaada ingawa wao wakiwa na shida huwa unawasaidia
Eeeh' Umenigusa Worms..!
 
Habari Wakuu,
Naomba kujua hivii ni kwanini mtu una rundo kama siyo furushi la watu kwenye maisha yako lakini kuna muda Unakuta unajihisi Mpweke sana na Una feel so empty inside..!
Na je kuna watu wanapitia this same situation.??
Maana nahisi hii hali inajitokeza mara kwa mara kwangu..!!

 
Badilika mkuu, mabadiliko yanahitajika kutoka kwako. You are responsible for your own life
IMG_4520188656.jpeg
 
Nani kasema they are not happy? Usikarir binafsi ni introvent but naenjoy life vibaya yaani.
Its about kujifaham. Nn ufanye na nn usifanye. My own company ndio everything, means less disapoitment, less enemies.

Its so cool.
Umewezaje me nimepambana mpaka nimechoka si kwa meditation wala subliminals messages...hatua nlopiga ni ndogo mno...kama sina cha kufanya naweza kaaa mwenyewe hata week sihitaji mtu wala nn!!nikikaa na watu nahisi siko happy kabisa
 
Uko na wasiwasi na kuna vitu una wasiwasi navyo na kubwa zaidi unaona havitakuwa kama vile ulivyotegemea.
I used to be like that but i asked myself what can i do about the situtions am worrying about n the answer was NOTHING i can do because it was out of my hands,so i stopped worrying and let God take control,and i decided wale kwenye group niliyohisi wananitenga nikamuua nisijing'ang'anize na kusubiri atakaetaka kuwa na mimi atanitafuta na nilisamehe wote walionifanyia vibaya.
Sisemi kwamba inaweza ika workout kwako pia lakini Let God take control,fanya vitu vyako bila kumtegemea mtu (assume there is no one wa kumtegemea) and above all PRAY
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom