Hivi hii hali huwa inanitokea peke yangu ama!?

Carleen

JF-Expert Member
Nov 6, 2018
7,503
25,112
Habari Wakuu,
Naomba kujua hivii ni kwanini mtu una rundo kama siyo furushi la watu kwenye maisha yako lakini kuna muda Unakuta unajihisi Mpweke sana na Una feel so empty inside..!
Na je kuna watu wanapitia this same situation.??
Maana nahisi hii hali inajitokeza mara kwa mara kwangu..!!
 
Wewe ni me au ke?
 
Kama haupo 'clingy' kwa wanaokuzunguka ina maana uko emotionally satisified na hauhitaji kua close na mtu yoyote.

Ni hali ya kawaida sana labda kama unajaribu kuwa karibu na hao watu alafu wana ku shun hapo ndio tatizo.

Lakini since umesema unafeel empty inside je umefanya effort yoyote ili ku fill hiyo emptiness inside you?
 
pole sana inapaswa ujiangalie wewe ka wewe usiangalie kijiji ulicho nacho maana yawezekana unawangalia kwa jicho flani nao kumbe wanakuangalia hivyohivyo, kikubwa ni kujitathimini na kuwa na maisha yakutotegemea ama kuangalia mtu
 
Mara nyingi sio wewe peke yako karibu kila mtu ila njia za kutatua ndio zinatofautiana.
Labda ni kitu gani unahisi ungekipata hio hali ingekutoka?
Afadhalii ht ningekuwa najua mpendwa, Hata sielewi! Kulia sometimes ndo ka tiba kangu.!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom