Hivi hii fursa inawezekana kweli?

kirisha

JF-Expert Member
Feb 24, 2017
573
663
Kama tunavyojua Tanzania kuna changamoto kubwa sana ya kupatika maji safi na salama hivi serikali inaruhusu mtu binafsi uweke maradi wako wa maji safi na salama uchukuwe pesa kama wanavyotoza dawasco

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni hoja fikirishi. Ninavyojua wako wanaouza maji katika maeneo ambayo hayana mitandao ya Mamlaka ya Maji Mijini (Urban Water Authorities).
 
Kwa sehemu niliyotoka (jina nahifadhi makusudi) kuna shida ya maja salama na uhakika, hili jambo nimewaza sana kwa kitambo ila kwa awamu hii dah.! Huenda ukageuziwa kibao mbeleni.
Ila inawezekana.

Mtaji.
Fuata taratibu zote.
 
Mkuu inawezekana tena bila shida yeyote ile cha muhimu ni kufuata sheria na taratibu walizo ziweka.

Back
Top Bottom