Hivi hii BSc. in Physics ukisoma unakuja kuwa nani? Kila mtu ananiambia utakuwa mwalimu tu

Sehemu moja wapo yenye huitaji WA watu waliosoma physics ni Semiconductor industry.

Katika viwanda vya uzalishaji WA chips(processor) ambayo hufahamika kama fab graduates WA Physics huajiliwa kama Engineer (Wahandisi).

Ukitembelea tovuti ya TSMC ya Taiwan utakuta kuna KAZI za uhandisi za.
1. Process Engineer
2. Integration and Yield Engineer
Hizi zinahitaji mtu aliyesoma physics au electronic engineering

Kwa bahati mbaya tz hakuna aina hii ya viwanda na tupo nyuma maana ni high tech.

Ila ungekuwa Taiwan, China , Korea, USA nk KAZI zao zipo Tu nyingi kwenye field ya semiconductor.
 
umenena vema sana,
asante sana;
 
nimesoma hii kozi,kipindi naingia mwaka wa kwanza nilishushwa moyo sana,ila kwa sasa nimeshika hatamu;
uahauri wangu soma kutafuta maarifa,usisome ili uwe nani upate ajira,niliajiriwa kwa sababu ya maarifa,sio nimesoma nini;
ndani ya hiyo degree kuna kozi nyingi tu,hakikisha unajiweka vizuri eneo unalotaka,mfano nuclear,electronics,programming n.k.,halafu hata CV yako useme wazi umebobea wapi,utafika mbali;
natamani kukuona hapo UDOM;
Aisee...Nimekubali
Akili kubwa...
Wafundishe hawa vidagaa wa siku hizi......
Huu upuuzi umejaa humu eti kozi gani ina soko?
Soko?????? nenda shimoni kariakooo......kauze hiyo kozi...
Kudos man......
 
Dah huu Uzi umevamiwa
Eng Peter wala hata sitanii nipo serious akikaza katika Physics anaweza kuja na vitu vya maana kama Einstein
Screenshot_20210923_070943.jpg
 
Wewe kama graduate wa physics una mambo mengi ya kufanya ni kuchagua tu.
Mimi ningekushauri ujikite kwenye programming maana ndio dira ya technolojia ya sasa.
Lakini unaweza jikita kwenye electronics na electromagnetism kwa sababu vitu vingi vipo huko. teknolojia nyingi zipo hapo, vifaa vingi vipo hapo.
Nuclear physics kwa digrii ya kwanza ni kama haina uelekeo hivi.
Bachelor ya phys hauajiliwi ualimu mpaka ufanye post graduate ya education.
Sehemu nyingine inayoajiri physist ni idara ya meteriology na viwanja vya ndege(air craft operator(sio pilot), ambao hutoa kozi fupi kabla haujaajiliwa.)
Ukiiva vizuri electronics unaweza ukafanya kazi viwandani kama electronics system controler,system analyst nk japo utashindana na engineers cha msingi ni competence.
Vile vile kama kichwa chamoto faulu vizuri tafuta scholarship ukajaribu dunia nyingine.
Vile vile viwanda vinahitaji material scientist bayo utashindana na engineers.
Viwandani/ migodini kuna darasa la saba wengi tu wanafnya kazi iweje wewe physist ukose nafasi ya kazi.
Faida ya mwanafizikia ni uwezo wa kujifunza haraka hivyo unayo nafasi ya kujifunza mambo mengi kadri ya utakavyo.
Unapokuwa chuoni wekeza ktk kusoma kozi rasm na zisizo rasm ili mradi zina feature.
Usisahau communication skill, jikite, uwe nahiri ktk mawasiliano, mawasiliano ndio kila kitu.Jifunze typing skill, scientific writing,analytical skills.
Ukiingia mitandaoni utakuta offer za waandishi wa maandiko ya kisayansi, hio ni opportunity kwa nyie mnaosoma sayansi.
Swali: kwa nini ufike chuo huku hujui ielekeo wa unachosoma? Huo ni uzembe mkubwa sana
Niishie hapo watu hawana uelewa wa hio kozi, ila mambo ni mengi sana kuliko hata wanaosoma chemistry, mathematics nk. Mathematician ndio wanapigika mtaani hawana mbadala.

It is your choice and determination! Good luck
 
Unasema walio soma math hawana uelekeo? Je hiyo programming unadhan wao hawaiwezi?

Tena ukikutana na programmer mwenye msingi mzuri wa hesabu ni balaa kweli kweli!
 
Kwa kweli hapo ndio nashindwa kuelewa elimu ya bongo...
Wasomi wa Maths wa Europe na US ni bingwa wa kote kote....
Ukienda Accounting wanatafutwa hasa, na ukienda Engineering, wanachukua kazi kuliko Engineering Graduate...
Maths ni Talent sio Cheti....
 
Option zake ni chache sana. Huyo wa physics tu anacompete na fani nyingi sembuse hesabu!
Hesabu ni idara za takwimu,bank, shule vyuoni, it wakati Physics anapiga zote hizo na sehemu za engineer nying physt anafit au analazimika kupata post graduate mwaka mmoja tu na kuwa engineer kamili.
Wapo waliopiga hesabu wana shangaa mtaani ila graduate wa physics hawez shangaa mtaani zaidi ya mwaka labda awe sio creative na goigoi.
Siwezi kumshauri mtu akasome Hesbu tu chuoni bora asome ualimu na hesabu, physics na hesaba , statistic, computer science, data science economics nk hesabu iwe minor.
Hesabu tu haina fada nakwambia zaidi ya kuumiza kichwa na kumpotezea mtu muda. Afteral in Africa hatuba kina Gauss, Terence Tao nk hivyo hakuna sababu.
Wewe kama muajiri mtu kasoma phys na hesab mwingine hesabu tu ni yupi utamuajiri kwenye taasisi yako?
Ningekuwa muunda mitaala ya chuo kikuu ningefuta course ya hesabu na kuiweka faculty ya science na vi surb topic kuvichomeka kwenye course mbali mbali kulingana na uhitaji.
 
Kwa kweli hapo ndio nashindwa kuelewa elimu ya bongo...
Wasomi wa Maths wa Europe na US ni bingwa wa kote kote....
Ukienda Accounting wanatafutwa hasa, na ukienda Engineering, wanachukwhayua kazi kuliko Engineering Graduawte...
Maths ni Talent sio Cheti....
What if a physist become programmer ? Anakuwa anajua kuanzia kwenye chip inavyofanya kazi mpaka kwenye kwenye high level langyage.
Kumbuka physists nao wanasoma hesabu. Mtu wa physics anakuwa mbele zaidi ktk critical thinking na problem solving.
Nikuulize.
Ni nani wanaweza kucheza na quantum computing vizuri zaidi kati ya mathematician na physists?
 
Kwa kweli hapo ndio nashindwa kuelewa elimu ya bongo...
Wasomi wa Maths wa Europe na US ni bingwa wa kote kote....
Ukienda Accounting wanatafutwa hasa, na ukienda Engineering, wanachukua kazi kuliko Engineering Graduate...
Maths ni Talent sio Cheti....
Unakuta anaenda kusoma post graduate ya education ili aajiriwe tamisemi daah maisha haya!!
 
Back
Top Bottom