Hivi haya ni matokeo ya hotuba ya JK pale Bungeni?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,342
6,468
JK aliwaambia Chadema kuwa wametoka Bungeni lakini watamfuata kwa shida zao. Sasa Mbunge wa Nyamagana na Mbeya mjini wameingia ofisini na kukuta hakuna samani, je huu ndio mwanzo wa utekelezaji wa maneno ya JK pale Dodoma wakati akizindua Bunge la 10? https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/92301-sugu-akabidhiwa-ofisi-isiyo-na-samani.html

JK anasifika sana kwa kuweka na kulipiza visasi na nafikiri ndio ameanza kutekeleza maneno yake yaliyokosa ukomavu wa kisiasa hasa siasa za vyama vingi. Wananchi wa majimbo hayo by 2015 no vote kwa CCM ngazi zote. Na huko ni kuvunja katiba kwa hali ya juu sana nafikiri kosa ili ni kubwa kuliko yote na kwenye penal code adhabu yake haijawekwa bado.
 
Sasa nyinyi mlitaka Masha awache vitu vyake personal?

What has it got to do with JK?
 
Samani ndani ya Ofisi ya Mbunge haiwezi kuzidi 3mil Tshs - Kwahiyo kila mbunge anayepewa 500,000 Tshs kwa mwezi kwa ajili ya matumizi ya Jimbo anaweza ku-furnish ofisi yake kabla ya April 2011...

Wenje na Mbilinyi - Wakati tunasubiri DAS na wengneo kutoa ufafanuzi wa ni wapi zilipo Furniture za Ofisi ya Mbunge - mnaweza kununua Kiti na Meza mkaanza kazi.. Tunawategemea mlete mabadiliko
 
Sasa nyinyi mlitaka Masha awache vitu vyake personal?

What has it got to do with JK?

na anawekaje vitu binafsi kwenye ofisi ya umma? mambo ya kipuuzi kabisa haya...yaani CCM ni majizi sana ,kuna siku mtang'olewa ikulu mtabeba mpka masinia
 
Yatokanayo: Ya Ndolanga kuweka Fax Machine ya FAT( sasa TFF) nyumbani kwake he he he he! Hii ndio Bongo situation hakuna anayejali kila mtu na luwake.
 
Sasa nyinyi mlitaka Masha awache vitu vyake personal?

What has it got to do with JK?

You call it vitu personal???? Kwa hiyo unam,aanisha lile dawati nililochangia shule kijana wangu asome akimaliza shule niende nikalitoe???

Mbona akili zenu mnaziweka matakoni????? Pandisheni juu kwenye kichwa bwana.
 
Sasa nyinyi mlitaka Masha awache vitu vyake personal?

What has it got to do with JK?
Kama Masha kaondoa Vitasa na vitu vingine i dont count how much will cost but shida yangu ni kuwa kama hawa ndio aina ya viongozi JK Alionao basi CCM kweli wamepitiliza tunahitaji Mabadiliko ya Nguvu ya uzalendo zaidi kuliko umimi.Napata picha wapigakura wake walivyopata shida kwa muda wote Masha alipokuwa madarakani.ni Mbinafsi wa kutisha Nyamagana onodeni CCM yote kila ngazi tupate wazalendo .Hivi nani alifuta JKT maana pale tulijifunza uzalendo hasa.
 
Kwani mmesahau: CCM=Chukua Chako Mapema? Selfish, greedy, thieves, crook etc typical of the so called CCM leaders na bado wengine hapa we dare to defend such rubbish; please spare us...Tanzanians are tired of such felons
 
Back
Top Bottom