Hivi haya ni mapenzi ya kweli!!

Aaron

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
3,019
4,693
Plz, wana jf" rafiki ana girlfrend, binti huyo anapokuwa naye hamwoneshi mapenzi (her feellings to him) but anapokuwa na marafiki zake huwapa story kuhusu boyfrend wake na kuonesha kuwa anampenda sana, so hii ina maana gani?
 
mwayaego huyo dada hampendi huyo kaka...
sema huyo kaka anavutia kwa nje au au ana mkwanja fulani,,,
so huyo dada anamtumia kuwatambia marafiki zake,
amwache atafute mwengine....:redfaces:
 
mwayaego huyo dada hampendi huyo kaka...
sema huyo kaka anavutia kwa nje au au ana mkwanja fulani,,,
so huyo dada anamtumia kuwatambia marafiki zake,
amwache atafute mwengine....:redfaces:

infidelity at work!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom