Hivi haya ni mafundisho ya Mungu au ni Fikra za kibinadamu kumsingizia Mungu?

Status
Not open for further replies.

Kakende

JF-Expert Member
Aug 18, 2012
2,741
2,000
Mwanaume wa dini A anaweza kuoa mwanamke wa dini B

Mwanamke wa dini B akiolewa na mwanaume wa dini A, mwanamke anauawa

Maana yake ni changu ni changu, chako ni changu.

Haya ni mawazo ya Mungu au ni wanadamu waliotumia fursa kuundanganya Ulimwengu?

Mungu kama Muumba wa mbingu na nchi, mwenye mamlaka yote, kwanini asiue watu wa dini "B" kwa kuwa hawafai mbele zake? Kwanini Mungu aendelee kuumba watu wa dini "B" mpaka leo?, Au dini "B" wanaumbwa na shetani?
 

Filomena

JF-Expert Member
Jul 18, 2013
295
195
NYONGEZA: Shule za dini A maranyingi hazichanganywi na wanafunzi wa dini B ingawa dini B inabeba woteee........ Yaani siipendi hii kituuuu mpaka hasiraa
 

Cookie

JF Support
Aug 6, 2009
2,060
2,000
Moja ya sheria za JF inatutaka tujiepushe na: Kuleta makala au kuendeleza mijadala yenye kuleta ugomvi, uchochezi na yenye muelekeo wa kutengenishana badala ya kuungana miongoni mwa wajumbe wa JAMII FORUMS na Watanzania wote kwa ujumla.
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom