Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,319
- 33,125
hivi viongozi wahusika hawaoni haya matatizo jamani???????????????
Wanafunzi wa darasa la saba kote nchini leo wamefanya mtihani wa taifa wa kuamaliza elimu ya msingi. Mitihani hiyo ianaisha rasmi. Haya ndio Matunda ya Uhuru wa kujitawala sisi Wenyewe ehhhh Kasheshe kweli na bongo yetu Tutafika kule tunakokwenda.........................?