hivi haya masoksi hawaruhusiwi kuyavua? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hivi haya masoksi hawaruhusiwi kuyavua?

Discussion in 'Jamii Photos' started by rebeca, Dec 21, 2011.

 1. r

  rebeca Senior Member

  #1
  Dec 21, 2011
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]jamani Dar si joto sana kucheza nayo?lol
   
 2. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #2
  Dec 21, 2011
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  soksi ni muhimu wakati wa mechi zina zuia majimaji ya jasho kuingia kwenye kiatu maana yakiingia ndani yanaweza kusababisha mchezaji kuugua fangazi zisizopona au kuvimba miguu kama ni denti unakuta anafukuzwa hata shule. Nitarudi baadae kidogo
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Dec 21, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  duh, kweli wewe ni she
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  keshasema mwali kule.....mwisho wa mwaka....vikumbo vya kuanzisha thread....
   
 5. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #5
  Dec 21, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,175
  Trophy Points: 280
  Halafu licha ya soksi kuwa protect (lol) kuna protection nyingine wanaweka ndani ya soksi . Ukimuangalia mwenye soksi za bluu kuna kitu kaweka mbele ya ugoko, sasa bila soksi huwezi kuweka protection hizi.
   
 6. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #6
  Dec 21, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,175
  Trophy Points: 280
  Kuuliza si ujinga, pengine mtu anataka kuona misuli, sasa anapata kuuliza.
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Dec 21, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  kwa kweli inashangaza!
  Kuna mmoja ataanzisha kwa nini wadada mnavaa blauzi, si muache vifua wazi maofisini pafomensi na atendensi ipande?

   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  Dec 21, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  amenisaidia kukonfem yeye ni mdada
  nayo ni faida, nitpata pa kuchangamshia PM zangu

   
 9. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #9
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  inawezekana....lakini misuli mizuri nadhani ni ya mapajani....huko anakoulizia yeye...mmmh....
   
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Dec 21, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Preta nawe mtata, unapenda paja la jogoo weye eeh!
  Haya, kumbe ushakua, namwambia Tanmo

   
 11. r

  rebeca Senior Member

  #11
  Dec 21, 2011
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama hujaipenda si uipotezee tu?
   
 12. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #12
  Dec 21, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,175
  Trophy Points: 280
  Unampangia sasa?
   
 13. r

  rebeca Senior Member

  #13
  Dec 21, 2011
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kongosho mie nina aleji na PM za wadada...lol
   
 14. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #14
  Dec 21, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  nikikuPM utajua mie ni He au She?
  Sawa mtoto, usiogope

   
 15. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #15
  Dec 21, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  sikumbuki kama nshakupm, kama sijakupm tafadhali, ngoja niache ujumbe hapa hapa hata kama usipo uona mod atakuambia. MWENZIO NAKUPENDA KIMAPENZI. SIJUI NINI NDO NINI SIJUI. ujumbe umefika. Mia
   
 16. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #16
  Dec 21, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Hahahahahah!! Acha niishie hapa hapa maana sitaki kusema nani kanichekesha! JF kuna mambo.
   
 17. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #17
  Dec 21, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  unajua thread nyingine zinaanzishwa ili chit chat iendelee.....kiranga ndo ameanza chit chat..........misuli ya kwenye ugoko.
   
 18. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #18
  Dec 21, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Afu weye!!!!
  Sijui nini, sijui nini
  hata mie sielewi
  ila mwenyewe anakuona
   
Loading...