hivi haya majizi yaaacha lini tabia hii? Be aware JF members | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hivi haya majizi yaaacha lini tabia hii? Be aware JF members

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kigogo, Jul 28, 2012.

 1. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 19,515
  Likes Received: 366
  Trophy Points: 180
  Someni hapo chini muone eti huyu kanitumia kwenye PM yangu.....mi mwenyewe natafuta mtu wa kumpiga sasa huyu si ananichakesha huyu

  Hi
  My name is juliet i am new in this site i saw your profile and like it i will like you to contact me back through my private email(julietsalman4u@hotmail.com)so that i will tell you more about me and send you my photo for you to know me better remain bless remember age and distance does not matter in real relationship......

  julietsalman4u@hotmail.com
   
 2. Kibwebwe

  Kibwebwe JF-Expert Member

  #2
  Jul 28, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 791
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Kamata mwizi man
   
 3. Matunyengule

  Matunyengule JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 704
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  mbona wengi tu tushatumiwa.
   
 4. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #4
  Jul 28, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,726
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Huyu mtu nami alishanitumia sana "julietsalman4u@hotmail.com" ni tapeli sana
   
 5. m

  mabwepand Member

  #5
  Jul 28, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mkuu hao ni wa kuangalia unakuta anataka kujua ww unatumia which email huku si unakuwa unatumia majina Bandia thus why kwa email anatoa ya kwake aliyotengeneza then anakutumia picha ya mwanamke mzuri unaingia mkenge kwa hiyo Dont be mjinga kaka unamtoa tu maanani shida yake ajue ww ni nani only upo wapi unafanya kazi wapi anakupata kirahisi
   
 6. Himawari

  Himawari JF-Expert Member

  #6
  Jul 28, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,965
  Likes Received: 487
  Trophy Points: 180
  Mhhh mpaka humu wamo?!!
   
Loading...