Hivi hawa wote waliotoa maoni ya kuhusu Tanzania yetu na viongozi wake ni waongo na wazushi?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,371
1.Wanasiasa mbalimbali wa vyama vya upinzani

2.Wanasiasa wachache kutoka CCM kama kina Nape,Maria Sarungi, Nyalandu aliekuwa CCM,n.k

3.Kanisa Katoliki Tanzania kupitia waraka wao.

4.Askofu Kakobe

5.Jarida la The Economist

5.Maaskofu kadhaa wa KKKT waliotoa maoni yao kwa njia ya maandishI

6.Umoja wa nchi za Ulaya kupitia tamko lao la hivi karibuni

7.Marekani waliotoa tamko kupitia ubalozi wao wa hapa nchini

8.Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu hapa nchini(LHRC)

10.Dr.Lwaitama

11.Sheikh Ponda

12.Mzee Jenerali Ulimwengu aliesema tumerudi nyuma miaka 50

13.Mwanasheria Mkuu wa sasa alietoa maoni kama ya Lissu kuhusu maswala ya sheria na mikataba ya madini na gesi kabla hajateuliwa kuwa Mwanasheria wa Serikali hivi karibuni.

14.Wastaafu walioambiwa "wanawashwawashwa".

Je,hawa wote nao ni wapiga dili?

Mambo waliolaani,kuonya,kushauri na kukosoa, yote ni uongo na uzushi?

Kwanini wahusika wasikae chini,wajitafakari na wajirekebishe walipokosea?
 
Kuunga jitihada za Raisi katika ujenzi wa uchumi viwanda ni “Universal Truth” kingine zaidi ya hapo ni uchochez, ubabaishaji nk

Ikiwa m/kiti aliwaweka ndani wanachama wake waliopinga katiba kubadilishwa, unadhani sisi tutapona?
 
Pamoja na kwamba umewataja kwa ujumla wao wanasiasa wa upinzani mimi napenda niwataje kipekee Lissu na Zitto

1. nchi inaendeshwa na dikteta uchwara
2. nchi inatawaliwa na malimbukeni na washamba wa madaraka
 
1.Wanasiasa mbalimbali wa vyama vya upinzani

2.Wanasiasa wachache kutoka CCM kama kina Nape,Maria Sarungi, Nyalandu aliekuwa CCM,n.k

3.Kanisa Katoliki Tanzania kupitia waraka wao.

4.Askofu Kakobe

5.Jarida la The Economist

5.Maaskofu kadhaa wa KKKT waliotoa maoni yao kwa njia ya maandishI

6.Umoja wa nchi za Ulaya kupitia tamko lao la hivi karibuni

7.Marekani waliotoa tamko kupitia ubalozi wao wa hapa nchini

8.Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu hapa nchini(LHRC)

10.Dr.Lwaitama

11.Sheikh Ponda

12.Mzee Jenerali Ulimwengu aliesema tumerudi nyuma miaka 50

13.Mwanasheria Mkuu wa sasa alietoa maoni kama ya Lissu kuhusu maswala ya sheria na mikataba ya madini na gesi kabla hajateuliwa kuwa Mwanasheria wa Serikali hivi karibuni.

14.Wastaafu walioambiwa "wanawashwawashwa".

Je,hawa wote nao ni wapiga dili?

Mambo waliolaani,kuonya,kushauri na kukosoa, yote ni uongo na uzushi?

Kwanini wahusika wasikae chini,wajitafakari na wajirekebishe walipokosea?
Kuna wakati unapo fikiri jambo inabidi ulifikirie kwa niaba ya akili ya jirani

Umetaja nyarandu kimakosa huyo hana jipya analo weza kulisema maana ndio wanaufaika wa ccm na wameleta haya yote yanayo tokea

Ukitaja wastafu nadhani ndo walio tufikisha hapa kwa kuharibu katiba mpya

Ukitaja hao maskofu ndo wanaufaika wabaadhi ya mifumo

Tanzania inahitaji

Katiba mpya

Sera za nchi

Vipao mbele vya nchi

Na watu walio tayari kudhubutu
 
Back
Top Bottom