Hivi hawa Wawili hawawezi kweli kuwa ama Mapacha au Ndugu?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,516
108,791
Sura zao kiukweli kwa jinsi zilivyofanana zinatupa wasiwasi kwamba huenda labda ni Mapacha au wana Undugu kwani ukiziangalia kwa umakini kabisa Sura zao unaweza hata kushindwa kumtofautisha mmoja wao labda mpaka utulie sana na uanze Kuchambua.

Naomba kuuliza je Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma ni Mapacha au Ndugu?

Nawasilisha.
 
shithole at work
 
images

images

Hawa imekaaje?

images
 
Attachments

  • upload_2018-1-31_23-16-45.jpeg
    upload_2018-1-31_23-16-45.jpeg
    6.4 KB · Views: 27
  • upload_2018-1-31_23-17-30.jpeg
    upload_2018-1-31_23-17-30.jpeg
    4.5 KB · Views: 27
shithole at work

Asante Mkuu naomba uniongezee na ' Tusi ' lingine na kama yatakuwa yameisha katika ' Kabati ' lako niambia nikuazime yangu ambayo yapo mengi kama 1000 hivi ambayo sijaanza kuyatumia bado.
 
Sura zao kiukweli kwa jinsi zilivyofanana zinatupa wasiwasi kwamba huenda labda ni Mapacha au wana Undugu kwani ukiziangalia kwa umakini kabisa Sura zao unaweza hata kushindwa kumtofautisha mmoja wao labda mpaka utulie sana na uanze Kuchambua.

Naomba kuuliza je Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma ni Mapacha au Ndugu?

Nawasilisha.

Yawezekana wakawa sawa na yule aliyemaliza muda wake wa uongozi hapa kwetu na kutaka kumpa aliyetajwa kuwa mdogo wake toka jimbo la uwele
 
Back
Top Bottom