Hivi hawa watu wamejiuliza ni nini itakuwa "impact" ya Lissu kushinda kesi ya kuvuliwa ubunge?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,013
144,371
Binafsi najiuliza hivi hawa watu wamejiuliza nini itakuwa impact ya Lissu kushinda kesi ya kuvuliwa ubunge ndani na nje nchi ukizingatia teyari anafahamika kama "The sixteen bullets survivor"?

Yaani siku hiyo na kesho yake media zote yakiwemo magazeti headlines ni Lissu ashinda kesi ya kuvuliwa ubunge!!

Najiuli,wenzetu hawa wametazama mbali kweli?

Politically,nani hapa atakuwa amejimaliza kati ya waliomvua ubunge na alieshinda kesi?

Mshauri wa hawa wenzetu ni nani?

Wacha tusubiri!!
 
Unajua utawala wowote ule unapo anguka huwa unaanza kwa kutengeneza matukio ya kihistoria ambayo yatabaki kuwa kumbukumbu.Sijawahi kusikia serikali imeshinda kesi yoyote ile dhidi ya Lissu katika utawala huu na ndo maana walikuja na option ya kumtanguliza kwa Israel na imeshindikana
Binafsi najiuliza hivi hawa watu wamejiuliza nini itakuwa impact ya Lissu kushinda kesi ya kuvuliwa ubunge ndani na nje nchi ukizingatia teyari anafahamika kama the sixteen bullets survivor?

Yaani siku hiyo na kesho yake media zote yakiwemo magazeti headlines ni Lissu ashinda kesi ya kuvuliwa ubunge!!

Najiuli,wenzetu hawa wametazama mbali kweli?

Politically,nani hapa atakuwa amejimaliza kati ya waliomvua ubunge na alieshinda kesi?

Mshauri wa hawa wenzetu ni nani?

Wacha tusubiri!!
 
Mzee umeshikwa pabaya mana kila sekunde uzi mpya wa kunifariji.
Binafsi najiuliza hivi hawa watu wamejiuliza nini itakuwa impact ya Lissu kushinda kesi ya kuvuliwa ubunge ndani na nje nchi ukizingatia teyari anafahamika kama "The sixteen bullets survivor"?

Yaani siku hiyo na kesho yake media zote yakiwemo magazeti headlines ni Lissu ashinda kesi ya kuvuliwa ubunge!!

Najiuli,wenzetu hawa wametazama mbali kweli?

Politically,nani hapa atakuwa amejimaliza kati ya waliomvua ubunge na alieshinda kesi?

Mshauri wa hawa wenzetu ni nani?

Wacha tusubiri!!
 
Unajua utawala wowote ule unapo anguka huwa unaanza kwa kutengeneza matukio ya kihistoria ambayo yatabaki kuwa kumbukumbu.Sijawahi kusikia serikali imeshinda kesi yoyote ile dhidi ya Lissu katika utawala huu na ndo maana walikuja na option ya kumtanguliza kwa Israel na imeshindikana
Wamenyimwa maarifa ili waangamie/waanguke ila hawajielewi tu!!
 
Hiyo kesi ataishinda vipi? Wakati majudge wanateuliwa na Rais. Na kabla Speaker hajatoa tamko alionana kwanza na Rais. Lissu hii kesi hatashinda.
 
"The fear of being uncovered, the fear of being made known for their wickedness is what is driving the CCM and that Synagogue of shetani , This is something they feel they must do in order to cover the evil that they have done or are a party to....nuksi za watanzania zimeanza kuzaa matunda now juu ya huu utawala wa shetani!
 
Unajua utawala wowote ule unapo anguka huwa unaanza kwa kutengeneza matukio ya kihistoria ambayo yatabaki kuwa kumbukumbu.Sijawahi kusikia serikali imeshinda kesi yoyote ile dhidi ya Lissu katika utawala huu na ndo maana walikuja na option ya kumtanguliza kwa Israel na imeshindikana
Ziraili na siyo Jzraeli
 
..si walimzuia asigombee TLS.

..Then, what happened?

..wao wamelenga asigombee Uraisi 2020.

..na hilo likitokea bado TL anaweza kuwa ktk kampeni akiomba kura za mgombea wa ukawa.
Kamanda futa kauli hakuna kitu kinaitwa Ukawa.
 
Back
Top Bottom