Hivi hawa watu nd'o hawasikii kilio cha wananchi jamani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi hawa watu nd'o hawasikii kilio cha wananchi jamani?

Discussion in 'International Forum' started by Ab-Titchaz, Apr 22, 2012.

 1. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Si kwa ubaya lakini jeshi la polisi la Kenya limekua too much!!!
  Angalia hizi video kisha utoe uamuzi.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Mkuu nakubaliana nawe Police Brutality siyo kitendo kizuri, lakini kusema ukweli MUNGIKI thugs ni watu hatari zaidi kuliko Police wa Kenya, na nina hakika Police wa Kenya wanajua jinsi ya kuwa-contain.
   
Loading...