Hivi hawa wasiojulikana iringa waliokamatwa wamefikia wapi?

KUDOLE CHA MWISHO

JF-Expert Member
Aug 13, 2017
410
888
Wakuuu habar za asubuhi!

Nimeamka hapa nikiwa na masikitiko makubwaa sana Jua ya kiongozi wa BAVICHA ambaye alikuwa katka mazingira ya kutekwa na watu wasiojulikana!!

Na Mungu akanikisha kukamatwa mmoja.

Baada ya polise kumtia Nguvuni eti mshukiwa nasema alikuwa ameenda kuangalia kama mke wake hupo kwa yule kiongozi!! Cha ajabu ilikuwa ni usiku wa manane!!!

Tunaombeni mrejesho wadau!! This is too Much!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom