Hivi hawa wasichana,huwa wako seriouz kweli?

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Hawa wasichana wanao enda kwa akna mchungaji rwakatare kuombewa ili wapate wachumba,ni kwel huko street kwao kote wamekosa wanaume wa kuwaoa kweli au hii ishu huwa imekaaje wakuu?
 
Kwa nyakati hz kuolewa ni bahat, hvyo wanaenda kwa wachungaji kusafisha nyota ya bahat ili nawao cku 1 wabahatike.
 
Kwa nyakati hz kuolewa ni bahat, hvyo wanaenda kwa wachungaji kusafisha nyota ya bahat ili nawao cku 1 wabahatike.

Kweli mkuu huwa naangalia jirani yangu anavyowapanga wanguu, na kuniambia kuwa hana na kamwe hatakuja kuoa mnguu basi nabaki hoi kweli. Jamaa 'anasukuma nyama kwa ndani' kila siku iendayo kwa Mungu. Kuna watu wanapiga mashine wakuu, mweeeeee!
 
wanaishia kujiwekea criteria zisizoeleweka na ngumu kutimiza ndo maana hawana bahati.
 
Hawa wasichana wanao enda kwa akna mchungaji rwakatare kuombewa ili wapate wachumba,ni kwel huko street kwao kote wamekosa wanaume wa kuwaoa kweli au hii ishu huwa imekaaje wakuu?

Sina uhakika kama wamekosa kabisa, ila nafikiri wanahofu na kuolewa na mtu ambaye anaweza kuwapa changamoto kwenye ndoa kiasi cha kuchukia na kulaani kwa nini waliolewa kama baadhi ya wanandoa wanavyojuta sasa, na hivyo kuamua kumshirikisha Mungu ili awape wa kufanana nao, I mean watu ambao hawatawasumbua!

Cha msingi tambua kuwa imani ni kitu cha ajabu sana na ni ngumu kuwa na majibu ya hapo kwa hapo. Ni sawa na mtu kuambiwa kajitoa mhanga kwa kushawishiwa kuwa atafika mbinguni kwa kuua wengine na pengine wasio na hatia, ni ngumu kwa mtu asiye na imani hiyo kuelewa. Au wale wafuasi wa kibwetere (huko Uganda) waliochomwa moto kwa ishu ya kiimani, ktk hali ya kawaida ilikuwa ngumu sana mtu wa imani tofauti na wao kukubali ushawishi huo.
Nafikiri ktk hili, hatuwezi kuwa na majibu maana kama nilivyosema hapo awali, limeegamia kiimani zaidi.
 
Tuko serious kabisa hii mambo sa nyingine co ya kukurupuka maana si tunajidai tunaongozwa na moyo tukipenda basi kumbe mungu ndo anatujua zaidi
 
Hawa wasichana wanao enda kwa akna mchungaji rwakatare kuombewa ili wapate wachumba,ni kwel huko street kwao kote wamekosa wanaume wa kuwaoa kweli au hii ishu huwa imekaaje wakuu?
Mkuu Senetor, we umeoa?
 
Back
Top Bottom