Hivi hawa wanawake wanaowasingizia kesi za ubakaji waume zao wanapata adhabu gani?

Kwa maelezo ya jamaa na mfano alioutoa wa huko anamaanisha mama kumsingizia kosa la ubakaji kwa mtu wake wa karibu aidha mtoto au ndugu yake.
Ishu ya Kenya baba alisingiziwa kumbaka binti wake, mzee akala mvua za kutosha ila miaka 10 mbele mtoto akaja kukiri kua hajawahi kubakwa na mama yake ndie alikua mastermind wa kuframe hio kesi, dogo alikuja kujutia sana na kutaka kusaidiwa kwenda gerezani kumuomba msamaha baba yake kwa uovu waliomfanyia.
Na hiyo ndio power kubwa wanayoitumia wanawake kuwanyanyasa wale wanaohitaji kuwafanyia hivyo. Huzuni kwa kweli.!

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Alitoka na alimsamehe mkewe pamoja na mwanae, mzee alikua anaongea kwa uchungu sana, kikubwa mzee anaonekana ni mtu wa dini sana sijui ilikuaje akajichanganya kwa huyo haramia aliemuoa na kumuweka ndani.

Alioa malaya. Huyo mzee ni introvert na ni nice guy. Sijui kwa nini nice guys huoa malaya.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Vyombo husika vikishindwa kutoa haki kwa usawa, aliyeonewa angaalie namna ya kupata haki yake.

Kama sheria za kisasa zikishindwa kuhukumu kwa haki na usawa tutumie zile sheria za Musa.
Hakuna cha kutumia sheria ya Mussa hapa ni mtutu kwenda mbele.
 
Back
Top Bottom