Hivi hawa wanaoitwa Makarai ndani ya Chadema ni kina nani.

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,230
6,469
Habari zenu wanajukwaa.
Niende madani, Leo nimekutana na neno Makarai wa Chadema ktk views nyingi kule jukwaa la kimataifa. Wanasema "Makarai wa Chadema".

Nimeshindwa kuelewa maana ya hili neno kimuktadha na wanamaanisha watu gani chamani. Mwenye kujua atujuze.
 
Unatujazia server tu pimbi wewe, hii nayo thread?
 
Habari zenu wanajukwaa.
Niende madani, Leo nimekutana na neno Makarai wa Chadema ktk views nyingi kule jukwaa la kimataifa. Wanasema "Makarai wa Chadema".

Nimeshindwa kuelewa maana ya hili neno kimuktadha na wanamaanisha watu gani chamani. Mwenye kujua atujuze.
Makarai yameondoka, wale wote waliohamia CCM hivi karibuni ndio walikuwa makarai. Nadhani majina yao unayajua.
 
Humu pia watu wa ufipa na wajuvi wengine wapo, ya nini kutembea hadi ufipa.
Hilo neno limetokea wapi? Nadhani ni neno lililoibuka kama la msimu. Na ni nani alilianzisha?Kama ukiweza kumjua, mnunulie togwa baridi na uanze kumpa dodoso la maswali yako. Huu ni ushauri lainii, kabla sijanywa balimi. Najiandaa na kwenda kusali ndiyo maana nimekujibu kiungwana!
 
Back
Top Bottom