Uchaguzi 2020 Hivi hawa wako sawa? Hawa ndio tuwape madaraka?

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
325
414
HIVI HAWA WAKO SAWA HAWA?. HAWA NDO TUWAPE MADARAKA?

Utawasikia kwenye mikutano au mitandaoni kwamba Watanzania hawana hela, hali yao mbaya mara nyie mafukara na maneno mengi sana ya kejeli na dharau kwa Watanzania lakini wakimaliza mikutano yao utasikia wanaanza kutembeza mabakuri kuchangisha hela kwa hao hao waliowasema kwamba hawana hela na mafukara. Hivi uzwazwa gani huu wanatuona Watanzania? Yani wanatudharau kiasi hiki halafu muda huo huo wanatutaka hela zetu. Mbona wanatuona Watanzania kama watoto wadogo na wanachezesha sana akili zetu. Hawa ndo tuwape kura hawa?

Ooooh!!! mara Tanzania hakuna uhuru wa habari, vyombo vya habari vinapendelea mara vyombo vya habari vinalalia upande mmoja halafu hao hao wanawafukuza TBC waliokuja kuwasapoti na kuwaonyesha kwamba Tanzania uhuru wa habari upo na hakuna anayependelewa. Hawa ndo washike madaraka hawa?

Halafu angalia wanavyowatukana, kuwadhalilisha na kuwavua utu wao watumishi wa umma wa nchi hii wanaofanya kazi kubwa kwa maslahi ya Watanzania wote kwa kuwaita eti wameokotwa majalalani. Yani hawa mawaziri wanaotatua kero za watu kila siku leo wamajajalani? Wakuu wa mikoa kwa wilaya, wakurugenzi, maafisa tarafa, kata, vijiji na watumishi wa umma wameokotwa jalalani? Dharau gani hii halafu ndo tuwape kura hawa?

Huu ni udhalilishaji na matusi makubwa kwa Watanzania wote wa nchi hii tena udhalilishaji unaotoka kwa watu wanaotaka tuwape madaraka. Tukaokomeshe siku ya Jumatano. Yani tumshukuru Mungu tu na tukawaadhibu kwa hasira kwenye sanduku la kura Oktoba 28. Hawawezi kutudharau kiasi hiki.

0657475347.
 
Hakuna mtu mkweli anayeitetea ccm ni wachache wenye kiutumia ccm kwa maslahi binafsi.
 
Hujui tofauti kati ya kukosoa na kutukana
 
Ukiwa kijana mwenye ndoto za kushiriki kulijenga taifa la Tanzania hutapata tabu kuwatambua watu wanaotegemea Misimu ili wavute pesa wakalishe familia zao.
 
Kati mambo ambayo umefanya kulitendea haki bandiko lako, ni kuweka namba yako ya simu! Umejitaidi sana!!
 
Khahahahahaha, wakataze familia yako kwenda kuwasikiliza.utakuwa umewakomesha watesi wako.ila mbona kama umewatangaza bila kujua. Maana wengi watataka kuhakikisha ulichokiandika ndugu mjumbe
 
Hata hawa wanakushangaa juha mkubwa
IMG_20200906_120039.jpg
 
Back
Top Bottom