Hivi hawa vijana wanaoshindwa kufunga goli timu ya "wazee" ni vijana gani hawa?

kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
6,635
7,005
Kuna kelele nyingi sana kuwa timu fulani ina wazee sana na hivyo wanaamini ingeweza kufanya vizuri zaidi iwapo wangekuwa vijana.

Sasa niwauluze,hawa wanaoshindwa kuwafunga hawa wazee,ni vijana aina gani hawa?Au ni vijana sio rizki?
Umeona wapi kijana anapigana na kikongwe halafu anadhibitiwa hadi roho inaanza kumtoka?
 
Utopolo ni wajinga,mgumba kapata mimba basi mji mzima anatema mate
 
1610813861354.png
 
Kuna kelele nyingi sana kuwa timu fulani ina wazee sana na hivyo wanaamini ingeweza kufanya vizuri zaidi iwapo wangekuwa vijana.

Sasa niwauluze,hawa wanaoshindwa kuwafunga hawa wazee,ni vijana aina gani hawa?Au ni vijana sio rizki?
Umeona wapi kijana anapigana na kikongwe halafu anadhibitiwa hadi roho inaanza kumtoka?
Kwani Kuna kipi kilichofanywa na wazee wa Simba? Yanga imeshindwa kuifunga Simba kwasababu ya Sarpong tu. Shot on target ni nyingi hivyo nafasi zimetengenezwa wameshindwa kuzitumia. Mabeki wa Simba wangekuwa wazuri wangeweza kuzuia mashambulizi ya Yanga kama vile walivyoambulia zero shots on target
 
Sio kila goli linafungwa kupitia shot on target, utopolo jielemishe.
 
Ha ha haa! Kamata mwizi men!Nawaona wanaume wa Dar mkimwadhibu mwizi kwa pillow halafu mnajisifu tumeliumizaa!
Kwani nyie mademu mbona hamkufunga mkuu au yanga walicheza 5 nyie 3. Mbumbumbu fc in Rage voice
 
Sio kila goli linafungwa kupitia shot on target, utopolo jielemishe.
Nimesoma mara mbili mbili lakini nashindwa kukupata ulikuwa unalenga nini. Unazungumzia mchezo gani mkuu, ni rede ama? Maana kama ni mpira wa miguu ni lazima ulenge gori ndio upate goli. Huwezi kupata goli kama haulengi goli. Lakini ngoja nikuache inawezekana unasiri yenu ya Simba kuwa magoli yenu ya kichawi huwa hayalengi golini labda.
 
Ni hivi mpira ukigonga mwamba au nguzo inakuwa sio shot on target mpaka liwe goli ndio itahesabika kama ilikuwa shot on target. Kwa maana hiyo nguzo ikigongeshwa hata mara kumi bila kuwa magoli itahesabika ni zero shot on target. Je timu pinzani ikigongesha nguzo mara kumi utaisifia beki kuwa ni imara sana kwa vile tu shot on target inasoma zero? Ume elewa au niendelee kukupa shule mbumbumbu wa utopolo?
 
Sio kila goli linafungwa kupitia shot on target, utopolo jielemishe.
Ni hivi mpira ukigonga mwamba au nguzo inakuwa sio shot on target mpaka liwe goli ndio itahesabika kama ilikuwa shot on target. Kwa maana hiyo nguzo ikigongeshwa hata mara kumi bila kuwa magoli itahesabika ni zero shot on target. Je timu pinzani ikigongesha nguzo mara kumi utaisifia beki kuwa ni imara sana kwa vile tu shot on target inasoma zero? Ume elewa au niendelee kukupa shule mbumbumbu wa utopolo?
Jitathmini mwenyewe kwanza
 
Back
Top Bottom