Hivi hawa Mbu wana nini? Kwanza hawapo kwenye friendlist yangu, ona walichofanya.

Lazima yule Rwaitama ni rafiki yako
yule anayekritisaiz kwenye TV
Huwa nahisi ni mtu wa mentality hiyo
Think critically, hata kijiko kinafikiriwa critical

Afu ukitaka picha iwe nzuri oa darasa la saba
Yaani ndani kunakuwa full burudani
Jamani mara hii mumeshanigeuza mbu? Mbu ndiyo wapo on question, sio mimi.
 
jamani mara hii mumeshanigeuza mbu? Mbu ndiyo wapo on question, sio mimi.
ahahaaa ujue mkuu we like u so very much tunataka tukuelewe so that we can have a nice friendship here kama hatukuelewi utatuona sio wazuri kwako na jf ni mahali petu pa kufurai na marafiki.si unajua au unataka tukuignore?
 
Tatizo huwa anafikiria sana
Maswali ya why? How? What? kwake ni breakfast
Nahisi kama ana gari keshalifanyia mabadiliko
Linaenda kinyuma nyuma
Sababu anaona si lazima kila gari lende mbele

Angalia hata signature yake
It's full of ideologies, principles, theories, psychology, phenomenon, philosophy, experiment, human nature and son on.

Astaghafilullah, Kongosho! I need to see my lawyer.
 
Lazima yule Rwaitama ni rafiki yako
yule anayekritisaiz kwenye TV
Huwa nahisi ni mtu wa mentality hiyo
Think critically, hata kijiko kinafikiriwa critical

Afu ukitaka picha iwe nzuri oa darasa la saba
Yaani ndani kunakuwa full burudani
Power of Mind cannot be the ultimate salvation for humanity, for all the faculties of mind are decidedly limited
ANAMAANISHA NINI HAPO KONGOSHO?

Consg' Smiles ni moja wa member hapa JF wanaongoza kutoa LIKES' akiwemo na Zumbukuku, Maskin_Jeuri, Daudi Mchambuzi na wengine wengi....

Kama ilivyokawaida yako, umeshafanya analysis, I like that.
You trailed, investigated, you have Data, so you have a right to speak.
 
Dont shoot!
I have a condition known as MDSS
MDSS-Mid Day Sanity Syndrome
Inatokana na lishe duni
Utanionea bure
Labda utupiganie wanyonge tupate milo 3 kwa siku

Astaghafilullah, Kongosho! I need to see my lawyer.
 
Anamaanisha akili zetu zinawaza kwenda kariakoo kutafuta vitop vya sikukuu
Jamani, nimetafsiri kwa hisani ya DANIDA

Power of Mind cannot be the ultimate salvation for humanity, for all the faculties of mind are decidedly limited
ANAMAANISHA NINI HAPO KONGOSHO?

Kid sis ambae ndo walau mstaarabu.... lol.... How are you? Missed you. Is life treating you well?
Haaa haaa haaa,
Niko poa kbs Big Sisy,
Missing u sana lol!
Namshukuru mungu,haya maisha yamekua fea sana kwangu lol!
Yani nadundika mpaka sasa mwaka unaisha kwa raha zangu,
Hw is my Big Shem, najua yuko hapo bisaidi yako,mpe tano kwa niaba lol!
 
Consg' Smiles ni moja wa member hapa JF wanaongoza kutoa LIKES' akiwemo na Zumbukuku, Maskin_Jeuri, Daudi Mchambuzi na wengine wengi....

Daudi Mchambuzi anaongoza, inabidi afaniwe utaratibu apewe zawadi ya funga mwaka
 
Lazima yule Rwaitama ni rafiki yako
yule anayekritisaiz kwenye TV
Huwa nahisi ni mtu wa mentality hiyo
Think critically, hata kijiko kinafikiriwa critical

Afu ukitaka picha iwe nzuri oa darasa la saba
Yaani ndani kunakuwa full burudani

Nasikia eti ana hold a PHD in critisizing, eti ni kweli?
 
Ana PHD in primitive communalism mode of production plus chimpanzee multiply by ujima
Ana kisimu cha tochi ambacho alilazimishwa na chuo kukimiliki maana walichoka kuwa wanamtafuta manywali

loh kongosho???????????
 
Inabidi atutafutie japo ufupisho wa hilo jina lake angalau,
Nimejitahidi kutamka nimeishia kupaliwa lol!
Na kiinglishi chake ndio cha kijeruman sijui kile!
Consigliere - Cantalasia.....sasa hapo langu na lako yana radha tofauti mdomoni kweli?
 
Back
Top Bottom