Hivi hawa mawaziri watafukuzwa kwel?

pingu mkoka

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
434
225
Ni kitu ambacho huwa najiuliza mm mwenzenu,hz kelele za Nape na Kinana kumtaka Rais awafukuze mawazi walioshindwa kazi je zitatimizwa na huyo baba riz?au wanatudanganya?nisaidien kwa hili wana JF.
 

Ba E's

Senior Member
Aug 20, 2013
145
170
Kwa ccm utasubiri sana, hawana ubavu wa kumfukuza mtu, kama tu kwa mfano amekiri uwaziri mkuu ni mzigo kwa maana nyngne umemshinda na atafurahi km atafukuzwa, lkn naamini naamini ataitumikia hyo nafasi kwa viwango hvyohvyo hafifu mpk 2015
 

peace2007

JF-Expert Member
Oct 9, 2007
213
195
Hivi unafukuza mawaziri ili iweje. Kama wewe kama Rais umekaa miaka minane ma matatizo ni yaleyale na umefanya mabadiliko mara mbili na matatizo ni yaleyale, hivi unatarajia wakibadilishwa mawaziri ndani ya mwaka huu mmoja uliobaki watafanya maajabu?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom