Hivi hawa madereva wanaendesha gari za Noah wana matatizo gani? Ingawa sio wote

Lamar BlacAmerican

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2013
Messages
650
Points
1,000

Lamar BlacAmerican

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2013
650 1,000
Naomba nisahihishwe kama nakosea ila katika madereva 10 wanaendesha Noah basi wawili tu ndo wataendesha kistaarabu.Yaani huko barabarani ni kero manake utakuta mtu anakimbiza gari sehemu ambayo hata haistahili kukimbiza gari au ku ovatake hovyo ni fujo tu huko barabarani au hizi gari Noah nazo ni sports car nijuzeni labda mimi nipo nyuma ya muda kama hizi ni Subaru ama vipi manake ishakuwa kero.

Napenda nisahihishwe kama nimekosea.

Nawasilisha wadau!
 

Forum statistics

Threads 1,390,503
Members 528,186
Posts 34,052,733
Top