Elections 2010 Hivi hawa jamaa wa SYNOVATE nini tena?

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,422
911,172
Leo kwenye Channel Ten jamaa wa SYNOVATE wamejitokeza na kudai kipaumbele chao kwenye uchaguzi huu kilikuwa ni amani bila ya kueleza wao wangeliweza kufanya nini kuimarisha amani hiyo.........................

Kwa mtazamo wangu labda hata uchakachuaji wa kura ya maoni waliona ni mchango wa kuendeleza amani huku wakisahahu hata kabla wao hawajaanza shughuli zao hapa nchini amani ilikuwepo.....................na isitoshe hawakueleza kama makubaliano yao na UNDP waliokuwa wakiwafadhili kama walikubaliana wawe wanatoa kura za maoni mara chache hivyo ikilinganishwa na Kenya ambako kura za maoni ni kila baada ya wiki mbili au tatu hivi wakati uchaguzi bado ni miaka miwili hivi hadi 2012............
 
You mean "Amani" ni kitu walikuja nacho au walipewa dhamana ya kukitunza! Cant see the link. Hopeless SINA VAT
 
Yaani amani yenu inahitaji kufanyiwa research kila two week, month or years??

TAFAKARI NA CHUKUA HATUA
 
Baada ya kuchakachua sasa wanakuja na mpango wa kumwandaa mtu wa mafisadi au watakuja na gear ya kupuliza baada ya kuuma. Sitaki hata kusikia juu yao na sitaamini hata nukta katika ripoti yao. Maiti wakubwa
 
Safari hii wamemchakachua mama mmoja kule Kenya ktk utafiti wao, analalamika kwelikweli wamemuweka wa6 ktk kura ya maoni wkt anahisi yuko juu zaidi. Hawa jamaa wameishawakamata wajinga wajinga akina Salva wataendelea kutamba in the next 5yrs kama fadhila ya uchakachuaji na wazee wa kuiba kura wakaja na matokeo kama yao baada ya kuona ya reDIRT ni vigumu kuyafikia. Hivi sisi wabongo tumekuwa wajinga kiasi kwamba hata utafiti tunafanyiwa na wakenya. Ndo maana wanafurahia jamaa aendelee kuongoza ili wazidi kuitafuna nnji hii.
 
SYNOVATE hivi kwa nini wasiende kufanya tafiti zao huko kericho ...wanalazimisha hapa kwa nini?
 
Hilo swala la CV naliafiki maana kuna walakini wa shule kwa upande wa Sin vote.
 
leo kwenye channel ten jamaa wa synovate wamejitokeza na kudai kipaumbele chao kwenye uchaguzi huu kilikuwa ni amani bila ya kueleza wao wangeliweza kufanya nini kuimarisha amani hiyo.........................

Kwa mtazamo wangu labda hata uchakachuaji wa kura ya maoni waliona ni mchango wa kuendeleza amani huku wakisahahu hata kabla wao hawajaanza shughuli zao hapa nchini amani ilikuwepo.....................na isitoshe hawakueleza kama makubaliano yao na undp waliokuwa wakiwafadhili kama walikubaliana wawe wanatoa kura za maoni mara chache hivyo ikilinganishwa na kenya ambako kura za maoni ni kila
baada ya wiki mbili au tatu hivi wakati uchaguzi bado ni miaka miwili hivi hadi 2012............

jamani tusipoteze muda kuwajadili hawa wahaini, hilo ni genge tu la wajanja ambalo linaendeshwa kibiashara, mkitaka hata waingie humu jf kufanya utafiti tunaoutaka sisi, wao wako tayari ili mradi walipwe malipo yao thats it! So don't waste your time to discuss synovate. Ile ni kampuni ya kibiashara, na ina wafanyakazi wanaitaji kulipwa mshahara.
 
Taasisi ya kikenya ninayoiamini mpaka sekunde hii ni Mwananchi Communication pake yake wengine ni ganga Njaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Mimi naona ni bora kuwanyima usingizi kwa kuwa ignore mara moja. They will die looking for their mistakes. Hakuna haja ya kuwazungumzia, watajuuta kupindisha haki za watanzania.
 
SYNOVATE hata kule Kenya hawaaminiki tena kutokana na kutokuwa wakweli..................
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom