Hivi hawa CCM wanatutaka nini watu wa Moshi?

kweli hazina mwelekeo na matokeo ya Igunga ni uthibitisho wa hilo, kweli magwanda yamelowa

Huwezi kujibu Hoja hapa Kazi kuingia na kutoa Mipasho kama Mzee wa Mipasho mgosi wa kaya. Nenda FB kwa Watoto wenzako. Kama wewe kweli umekomaa kiakili basi jibu Hoja wa Mwa JF
 
kweli hazina mwelekeo na matokeo ya Igunga ni uthibitisho wa hilo, kweli magwanda yamelowa

Hakuna cha matokeo ya Igunga. Ni wizi mtupu na kuwahonga wananchi masikini ubwabwa. Check gharama mlizotumia kuipata kura moja ya mwananchi ukilinganisha na vyama vingine.
"Habari wanajamvi...uchaguzi umekwisha huko Igunga na gharama zilizotumika zimefahamika..kwa kifupi ni kwamba CCM ilitumia 3biln, CHADEMA 400Mln na CUF 150Mln...CCM wamepata kura 26,484, CHADEMA kura 23,286, CUF kura 2,104....kwa hesabu za haraka ni CCM-3,000,000,000/26,484=113,275/=
CDM-400,000,000/23,286=17177/=
CUF-150,000,000/2,104=71,292/=
hivyo basi
CCM imegarimikia kura moja kwa tsh 113,275/=
CDM imegarimikia kura moja kwa tsh 17,177/=
CUF imegarimikia kura moja kwa tsh 71,292/="
 
kweli hazina mwelekeo na matokeo ya Igunga ni uthibitisho wa hilo, kweli magwanda yamelowa

Wewe nape na wenzio hakika laana kubwa inawangoja hivi punde, kudhalilisha dini yangu kwa uwizi wenu wa kuwatesa binadamu wenzenu, mnatumia udhaifu wa viongozi wangu wa dini kutudharilisha inshaalah adhabu mtaipata hapa hapa duniani na siku si nyingi.
 
kweli hazina mwelekeo na matokeo ya Igunga ni uthibitisho wa hilo, kweli magwanda yamelowa
Mbona hutaji matokeo ya huko ulikokuwa baada kupigwa ban kukanyaga Igunga na Rostamu ? Vipi matokeo ya Serengeti na vipi matokeo ya Rorya ? Hebu uwe muungwana kidogo utupe yaliyojiri huko maana ya Igunga unasimuliwa tu kama sisi wengine !
 
haaa hhhaa kamua baba mpunga huo nape anakuona mtukane na slaa kabisa dau litapanda.

hahahah...mbwa na mwenye mbwa wako kazini...jana nepi alisema anamvuto ndiyo maana magwanda tunahangaika na naavyo jichubua si bure tunahangaika nae..
 
Nape nepi ?mbona kumkichwa hamna kabisa? Hivi mbona uelewa wako kama upo darasa la pili vile?badilika wewe! Hivi huoni hata upepo wa mageuzi unavyovuma? Angalia utasombwa na sunami ya cdm 2015, shauri yako.
 
Crashwise achana na huyo Geniusbrainmavi kishashibishwa ubwabwa muda si mrefu ataenda KUTOKO.

hapa arusha walijaribu kufanya huo ujinga walikomea gari tano zika zinazunguka mjini huku wakipiga honi, Huku kila kona waliyopita watu walikuwa wanawanyoshea v na kuzomewa na walipofika soko kuu walizuiliwa kupita
 
Yani wamenikera kwa jins wamefunga mtaa wote wa somali, eti wanahu2bia wanaeleza mafanikio yao huko igunga...kero zaidi ni pale wabibi wazee wamekoboa nyuso kwa mkorogo nao wanashabikia kwa kurukaruka as if that wil make our lyf better. Nilikuwa naomba kimoyomoyo wafe wote hata kwa radi tu...! Hv hzo bil 3 walizoshade hazikutosha mpaka waje watapanye zingne huku msh? Kweli ya Mungu ningekuwa na haki ningewaua mashabiki wote wa ccm nkianza na wale wazee!
 
Nape nepi ?mbona kumkichwa hamna kabisa? Hivi mbona uelewa wako kama upo darasa la pili vile?badilika wewe! Hivi huoni hata upepo wa mageuzi unavyovuma? Angalia utasombwa na sunami ya cdm 2015, shauri yako.

Nape anachungulia anaogopa kutia Mguu wake hapa kujibu Hoja, karibu Nape hapa sio sehemu kugawa Pilau, t-shit zenu za nuksi na Kofia zenu zinazoleta umaskini na Vitenge vyenu vya kulewa Mbege
 
kweli hazina mwelekeo na matokeo ya Igunga ni uthibitisho wa hilo, kweli magwanda yamelowa

kwani Igunga ulikuwepo? ili tuone kweli wewe wa maana waondoe Chenge na Lowasa halafu tukutane tena huko. Mliyofanya Igunga tunayajua yote.
 
Wana jf msibishane na nape,kumbukeni ccm ndio ajira ya familia yao baba mpaka mjukuu.ccm ikifa hawaendi choo
 
Wana miaka inaenda 20 moshi mjini magambaz hawajawahi kushangilia so Waache wajikumbushe kushangilia maana watasahau buree and this is the last one caz in 2015 hata diwani mmoja hawatakua nae pale moo town watabaki kushangilia wenzao...!!
 
Nilishindwa kushuka kwa njia ya barabara ya hiace za Soweto, waliniudhi sana.

CCM wote wanafanana. Wana akili za Nape.

2015 zile kata tatu tunachukua. Wasubiri.
 
Wana miaka inaenda 20 moshi mjini magambaz hawajawahi kushangilia so Waache wajikumbushe kushangilia maana watasahau buree and this is the last one caz in 2015 hata diwani mmoja hawatakua nae pale moo town watabaki kushangilia wenzao...!!

Umesema yote. Wakigawa fedha watu wanakula, kura kwa CDM
 
Yani wamenikera kwa jins wamefunga mtaa wote wa somali, eti wanahu2bia wanaeleza mafanikio yao huko igunga...kero zaidi ni pale wabibi wazee wamekoboa nyuso kwa mkorogo nao wanashabikia kwa kurukaruka as if that wil make our lyf better. Nilikuwa naomba kimoyomoyo wafe wote hata kwa radi tu...! Hv hzo bil 3 walizoshade hazikutosha mpaka waje watapanye zingne huku msh? Kweli ya Mungu ningekuwa na haki ningewaua mashabiki wote wa ccm nkianza na wale wazee!
hawa mazuzu walijipitisha huku osterbay mtaa wa chini walizomewa wakaishia kujitapa kuwa wao ni wanaume
 
Nyie mlio amini mtatangazwa ndio maana viongozi wenu walizimia kule igunga ?
Wewe ni Msen,ge na una firw.a na MASHETAN CCM, mwana hizaya wewe, wewe ni Kahaba, wewe ni kama mwanamke anayetaka kila mwanaume ana anajihcekesha anapoona wanaume, Nipo Tayar kula BAN kwa ajili ya ku deal na watu kama nyie.
Hope Moods watanilinda coz wameona utumbo wako
 
kweli hazina mwelekeo na matokeo ya Igunga ni uthibitisho wa hilo, kweli magwanda yamelowa

Nape wewe ni kiongozi wa chama kikubwa kama CCM, Huwa nafikiri sana, kama wewe unatambua nafasi yako ya uongozi. Hoja zako haziendani nafasi yako ya uongozi. Waige vijana wenzako ambao ni viongozi. Wana busara na wachuja mambo. Hawakurupuki.

Kampeni ya Igunga hukushiriki kwa kukatazwa, leo unajisifu. Unamdangaanya nani ?

Ndugu yangu nafikiri nafasi hiyo hustahili, waachie wengine maana unaharibu future yako. CCM iko kwenye ukingo wa kupotea. Wewe bado ni kijana mchango wako hapa nchi ni muimu sana.

Tafakari sana kama kiongozi wa Watu.
 
Ndio raha ya ushindi hiyo ! na ww kama vp jiunge nao tu. CDM mmewachukia wana igunga kwa vile wamewapotezea muda na pesa nyingi na hamkupata kitu. Jiunge nao kusheherekea.

Wewe utakuwa mmoja wa wale wenye vitambi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom