Hivi hawa CCM wanatutaka nini watu wa Moshi?

Nnape , huna la kujisifia Igunga , ni uwendawazimu kufikiri kuwa ulikuwa na mchango wowote Igunga , ningekuwa mimi ni wewe ningejiuzulu kwani kuzuiliwa kwenda ni kukudhalilisha kuwa wewe huna mchango wowote kwenye chama , tafakari haya .
 
kweli hazina mwelekeo na matokeo ya Igunga ni uthibitisho wa hilo, kweli magwanda yamelowa

Nape, contemplate the situation and your standing in magamba' party, you've been declared unwanted. Muulize Mukama kama huamini.
Dawa yako iko jikoni inachemshwa na hao mafisadi waliokushinda kuondoka chamani, utainywa karibuni! Brace for the bitter swallowing of that pill.
 
wanafurahia kilo ya sukari shiliilingi 25000 ccm hoyee nafikiri ukiwa na card ya ccm kilo sh 1700 kama alivyoagiza wzr mkuu
 
kweli hazina mwelekeo na matokeo ya Igunga ni uthibitisho wa hilo, kweli magwanda yamelowa

Hahaaaa, kumbe dogo upo. Subirini 2015 hivyo vikongwe mnavyovidanganya kwa Buku watakuwa hawawezi tena kupiga kura, kipenga cha ku update daftari la wapiga kikipulizwa subirini muone kiama chenu pale vijana watakapojitokeza kwa wingi kujiandikisha na huo ndo mwisho wa magamba.

Unajisifu Igunga wakati chama na serikali vyote vilihamia huko kasoro wale waigizaji wa kupambana na Mafisadi
 
kweli hazina mwelekeo na matokeo ya Igunga ni uthibitisho wa hilo, kweli magwanda yamelowa
Nape huna cha kujivunia Igunga Mkuu manake hukuwa sehemu ya kampeni na wana ccj wenzako wote mlipigwa marufuku kukanyaga huko! Bora ukae kimya ule maana ni wakati wako
 
MasaburiBrain, wanaIgunga kamwe hatuwezi kuwachukia tena tuna washukru kwa kazi walio ifanya hata nyie mnajua shughuli iliyofanyika hapo Igunga pamoja na kugawa pesa, kuchinja gome na kuwagawia, udini, kuwamwangia tindikali.....

hawatakaa waendelee 7bu hawajui haki zao, wanatapeliwa na wao wanakubali2, ila iko siku wata elimika tu,
 
kweli hazina mwelekeo na matokeo ya Igunga ni uthibitisho wa hilo, kweli magwanda yamelowa

Kabla hujapewa ukatibu mwenezi, nilikua nakuheshimu sana kwa kauli zako, bila kujali itikadi, ingawa ninaichukia CCM..
Moyoni mwangu, nilijua CCM itabadilika kupitia vijana kama wewe...

Ila kwa kauli kama hii, umeonyesha hujielewi.. Binafsi, sio mwanachama wa chama chochote.. Na naunga mkono viongozi wapiganaji kutoka chama chochote kile.. Ila kwa kauli zako za kizembe hivi, unatuangusha vijana wenzako tuliokua tunakutegemea hapo awali..

Wewe sio tegemeo letu tena.. Umeshakunywa JUJU.. Ama kweli Tanzania tuna safari ndefu.. Kama kijana Nape, kijana wa karne ya 21 anaongea upupu kiasi hiki tunaelekea wapi?? Please Nape, be human, Vijana wenzako tunateseka huku.. Jaribu kukibadilisha chama chako.. Mnatukatisha tamaa kwa kauli kama hizi..
Siku tukiamua kuwaadabisha kwa nguvu, mtakoma!! Ila hatutaki kufika huko, Please JIREKEBISHE.. Maisha ni magumu huku mtaani, siasa zenu zinatuumiza..
 
nape umesema wanaigunga hawakujitokeza kupiga kura kwa sababu ya kuogopa kumwagiwa tindikali na cdm mbona takwimu zinaonesha mwaka wamejitokeza wengi kuliko mwaka jana ambapo cdm hawakugombea.kilichowafanya wajitokeze mwaka huu kwa wing ninini?
 
Makamanda wala msihofu mimi nimeshuhudia maandamano hayo yalikuwa yamejaza vikongwe vitupu na wengine hata hawakufika mwisho wa maandamano.........nilhojiana na moja ya hivyo vizee akaniambia kwamba hawakutegemea kupata ushindi kama huo huko igunga...kazi ya magamba hiyo.
 
Crashwise aka mchicha mwiba ( hilo jina tu linaonyesha ww si miongoni mwa wanaume marijali km sisi)

eti una sema weni rijali? Una urijali gani ww m2 unahongwa bia na suti av wanaume wana kun'gan'gania we ni walewale ata kwe2 mpo mbo? Ah... Kwani we ninani?
 
Nape unajua magwanda wanatumia nguvu nyingi na akili chache, ila ccm mnatumia akili nyingi na nguvu chache. Angalia magwanda walipeleka jeshi zima igunga wakaenda kutumia nguvu nyingi , ila ccm lilipeleka jeshi chache lenye akili na mbinu kali, na hilo ndilo jeshi bora !

haaa hhhaa kamua baba mpunga huo nape anakuona mtukane na slaa kabisa dau litapanda.
 
nape umesema wanaigunga hawakujitokeza kupiga kura kwa sababu ya kuogopa kumwagiwa tindikali na cdm mbona takwimu zinaonesha mwaka wamejitokeza wengi kuliko mwaka jana ambapo cdm hawakugombea.kilichowafanya wajitokeze mwaka huu kwa wing ninini?

huyu jamaa sio kabisa umri unasonga akil inarudi utoton! Alpost matokeo katika fb usiku kabla nec awajatangaza.asubuh akayachomoa then akaanza kulalamika kuna mtu ame hacking account yake.
 
Wana jm hivi hapa nilipo niko kwenye mkutano wa hiki chama cha mafisadi, nachoweza kusema ni kwamba wamechukua vikundi vya kina mama wazee wanaimba ngoma za vijembe na ku2kana CHADEMA 2. Kwa mtazamo wangu hiki chama kimefika mwisho wake, kwani walipita kila kata kutangaza huu mkutano wao na sisi ambao hatuna vyama tulidhani 2nakuja kuambia mambo ya maendeleo kwenye nchi ye2 ukizingatia sukari inapita hapa hapa mkoani kwe2 kwenda kenya kwa magendo na mahindi, sasa wao wamekali ku2onesha ngoma za zenye mipasho na vijembe kwa CHADEMA. Swali langu kwa wana jamii ni hili HIVI CHADEMA WAMEWAFANYA NINI CCM. Manake hawaongelei vyama vingine mbona kuna vyama vingi? Naombeni jibu. Nb. Hivi hawa wazee wanaoshabia siasa uchwara kama alivyosema LOST. Hawaoni mambo yalivyo kuwa magumu mimi binafsi kwa mchango wangu kwenye hizi siasa za umbea ningependa kuona huduma muhimu kama chakula ipande mara dufu ili watu wakome na siasa zao uchwara!! Haya ni maono yangu asante hadi sasa hawajaanza ku2eleza nini wame2itia hapa wao ni kutoa kikundi hiki weka kingine cha ngoma kwa lengo la ku2oa vijembe kwa chadema!!

Mkuu wanachofanya magamba ni sawa na mwizi kufukuzwa kimya kimya, kinachotokea ni mwizi kupiga kelele.

Waache magamba wapige kelele kwani ukweli ni kwamba chadema inawakimbiza kwa kasi sana tena kimya kimya. Kamata mwizi magamba meeeeeeeeeen!
 
Hata yule Kijana wa Mzee wa Mipasho Makamba ana afazali kuliko Huyu Nape wa Masaburi, eti anajidai urthi alioachiwa na Mdingi wake. Ngoja tupate Rais mwenye akili Timamu kama SATA wote wakuu wa wilaya na mikoa mtakuwa Jobless
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom