Hivi Hawa Asia wanaotoa Tiba na Vituo kufungwa wanapata wapi nguvu hizi...

sekulu

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
988
157
Kumekuwa na wimbi la Vituo vingi sana vya Afya vinavomilikiwa na wa Asia kufungwa, Muda huu kituo kingine ni cha kigoma na Kimeshafungwa!,

Mi najiuliza Kweli mpaka Mtu anaanzisha kituo cha afya anaanza kuoa Huduma na sasa wanaanza ukaguzi ndo wanashtuka kwamba jamaa hana Leseni y atiba anayoitoa, huu ni uzembe au ni usingizi jamani??

Kama ni kuleta madhara si atakuwa ameshaleta madhara sana!
 
Hawa watu wanajua wakikamatwa hawafanywi chochote! angalia alivyochoma vile vitu vingine.Yawezekana kachoma vya hatari!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom