Hivi hatuwezi kupata mwekezaji pale BOT?

kimboka one

JF-Expert Member
Jan 23, 2010
734
85
huu mdororo wa uchumi hapa Tz si ni bora kubinafsisha BoT,waje wazungu au wachina watuweke uchumi wetu sawa? then tupate uhakika wa ajira kwa vijana.coz wtz wanaingia pale ni kupokea maagizo ya wanasisa na kujinufaisha wao wenyewe tu. Hawatowi mpango na mwelekeo wa kiuchumi wa kuweza kuinua uchumi wetu.wao akili yao inawaza mikopo na misaada tu,wamajitaidi sana ni kodi za wafanyakazi na vinywaji.then 2taamia magogoni
 
...Tatizo haliko BoT, na suluhu si kuibinafsisha. Umefika mbali sana, hapo ulipo -hapo hapo mtaani kwenu- ndio tatizo lipo.
 
Back
Top Bottom