Hivi hata walimu walio inservice watapewa mkopo na serikali?

jaridotcom2

Member
Jul 26, 2012
62
11
Naomba kusaidiwa mm ni mwalimu (Diploma Holder) masomo ya Sayansi Geography anda Chemistry nimeomba kusoma Degree Education katika masomo hayo na niliomba mkopo pia lakini nasikia kunatetesi Eti sisi tulio in service hatupati mkopo je ni kweli au msaada kwa mwenye jibu..nashukuru Mungu niko Adimitted.
 
andaa tution fee kabisa maana kuanzia mwaka jana kama uko inservice ''no loan completely'' sio inservice peke yake hata wale waliomaliza form six tofauti na mwaka huu kuna uwezekano mkubwa wa kukosa mkopo regardless unasoma science au hapana maana imetokea sana mwaka jana.kwahiyo andaa pesa za kutosha endapo utapata mkopo itakuwa added advantage.
 
Back
Top Bottom