Prof Koboko
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 350
- 2,549
Nimeshangaa sana kuona msanii huyu anazunguka akiwa amejiachia na mavazi ya kijeshi wakati Raia wa kawaida wasiokua maarufu wakivaa wanaambulia kipigo na pengine kesi za uhujumu uchumi.
Viongozi wa Jeshi letu kwanini wasimchukulie hatua msanii huyu au watolewe ufafanuzi wa mavazi haya?
Ni mara kadhaa tumeshuhudia watu walikutwa na hizi nguo mtaani wanakamatwa, lakini kwa huyu Makonde vipi tena?