Hivi Harmonize ni mwanajeshi wa kikosi gani hadi avae nguo za jeshi, anaogopwa?

Prof Koboko

JF-Expert Member
Aug 15, 2020
350
2,549
Nimeshangaa sana kuona msanii huyu anazunguka akiwa amejiachia na mavazi ya kijeshi wakati Raia wa kawaida wasiokua maarufu wakivaa wanaambulia kipigo na pengine kesi za uhujumu uchumi.

Viongozi wa Jeshi letu kwanini wasimchukulie hatua msanii huyu au watolewe ufafanuzi wa mavazi haya?

Ni mara kadhaa tumeshuhudia watu walikutwa na hizi nguo mtaani wanakamatwa, lakini kwa huyu Makonde vipi tena?

Screenshot_20210209-215551~2.png
 
Nimeshangaa sana kuona msanii huyu anazunguka akiwa amejiachia na mavazi ya kijeshi wakati Raia wa kawaida wasiokua maarufu wakivaa wanaambulia kipigo na pengine kesi za uhujumu uchumi...
Angekuwa anavunja sheria hata wewe husingepata nafasi ya kuandika haya uliyo yaandika maana angeshakamatwa kitambo na wenye mavazi yao
 
Nimeshangaa sana kuona msanii huyu anazunguka akiwa amejiachia na mavazi ya kijeshi wakati Raia wa kawaida wasiokua maarufu wakivaa wanaambulia kipigo na pengine kesi za uhujumu uchumi.

Viongozi wa Jeshi letu kwanini wasimchukulie hatua msanii huyu au watolewe ufafanuzi wa mavazi haya?

Ni mara kadhaa tumeshuhudia watu walikutwa na hizi nguo mtaani wanakamatwa, lakini kwa huyu Makonde vipi tena?
Vipi kama yuko nje ya Tz ambako hawajali hayo mambo?!
 
Japo anazivalia chumbani, sema kwa hiyo picha ameshavunja sheria hata kama kosa kalitendea chumbani kwake.
 
Nimeshangaa sana kuona msanii huyu anazunguka akiwa amejiachia na mavazi ya kijeshi wakati Raia wa kawaida wasiokua maarufu wakivaa wanaambulia kipigo na pengine kesi za uhujumu uchumi...
Ukiunga mkono juhudi cha chama kilichishika hatamu na Jiwe hata wanajeshi wataogopa kukusumbua, huo ndio ukweli
 
Nimeshangaa sana kuona msanii huyu anazunguka akiwa amejiachia na mavazi ya kijeshi wakati Raia wa kawaida wasiokua maarufu wakivaa wanaambulia kipigo na pengine kesi za uhujumu uchumi....
Sema ni vile masaa yote yuko ndani ya AC kwenye ndinga hawakutani .
Wbu mwambieni aje hapa Mwenge shell akatize katize kwa miguu.
 
Wabana pua wanaimba kwa shida jamani, ebu cheki jamaa alivyojibinya hiyo yote kulazimisha katoke kasauti flani hivi
 
Huwa yanaombwa kibali unalipia mfano ukiwa mwigizaji unataka kuigiza kama polisi unaomba kibali unapewa uniform unatumia chini ya usimamizi ukimaliza unarejesha
Nadhani wewe hujawahi hata kutumikia Scout hapa nchini.

Tanzania hakuna utaratibu wa kumwazimisha raia nguo ya jeshi lolole.

Sema tu umaarufu wake na kujipendekeza kwa viongozi ndio silaha yake.
 
Nimeshangaa sana kuona msanii huyu anazunguka akiwa amejiachia na mavazi ya kijeshi wakati Raia wa kawaida wasiokua maarufu wakivaa wanaambulia kipigo na pengine kesi za uhujumu uchumi.

Viongozi wa Jeshi letu kwanini wasimchukulie hatua msanii huyu au watolewe ufafanuzi wa mavazi haya?

Ni mara kadhaa tumeshuhudia watu walikutwa na hizi nguo mtaani wanakamatwa, lakini kwa huyu Makonde vipi tena?
Ni mjeshi kikosi cha mtwara
 
Kwahiyo tukamkamate?

Mimi waliwahi niambia nivue shati hlafu nilichane na meno
Nikagoma ..walinipa vitisho still niligoma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom