Hivi hapa napendwa kweli au nalazimishia kupendwa tu wakuu?

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Hope you are all good as normal!wakuu,kuna binti mmoja nimetokea kumpenda na tayari nimemwambia kuhusu hisia zangu na amenikubalia.sasa linalonitia wasiwasi kuhusu huyu binti ni namna yake ya mawasiliano,yani yeye hapigi simu,hatumi texts wala kufanya chochote mpaka mimi nimuanze.nilimuulza kuhusiana na hyo tabia yake akaniambia tu eti yeye huwa ni mvivu wa mawasliano,wakati mwingne huwa nahisi labda vocha ni tatizo najaribu kumrechearge but atanitumia tu txt moja ya asante then anakua kimya.ila kinacho nishangaza kila ninapompigia cmu ananichangamkia vizuri,ananiambia alinimiss kwa muda wote ambao hajasikia sauti yangu na mengine mengi.sasa wakuu,nauliza,hvi hapa napendwa kweli au nalazimishia kupendwa tu,maana me nispoanzsha mawasliano na yeye anauchuna,nifanyaje?
 
Ukiwa nae face face hua yuko busy na simu yake??if yes jua unaibiwa, if no basi jua yeye ni mmoja kati ya watu wasiopenda kuchart, jaribu kukaa nae karibu na kumchunguza utapata majibu sahihi..
 
Hope you are all good as normal!wakuu,kuna binti mmoja nimetokea kumpenda na tayari nimemwambia kuhusu hisia zangu na amenikubalia.sasa linalonitia wasiwasi kuhusu huyu binti ni namna yake ya mawasiliano,yani yeye hapigi simu,hatumi texts wala kufanya chochote mpaka mimi nimuanze.nilimuulza kuhusiana na hyo tabia yake akaniambia tu eti yeye huwa ni mvivu wa mawasliano,wakati mwingne huwa nahisi labda vocha ni tatizo najaribu kumrechearge but atanitumia tu txt moja ya asante then anakua kimya.ila kinacho nishangaza kila ninapompigia cmu ananichangamkia vizuri,ananiambia alinimiss kwa muda wote ambao hajasikia sauti yangu na mengine mengi.sasa wakuu,nauliza,hvi hapa napendwa kweli au nalazimishia kupendwa tu,maana me nispoanzsha mawasliano na yeye anauchuna,nifanyaje?

umejaribu kumpigia cm ucku uone kama cm yake iko busy,
 
mpigie kuanzia saa 3 mpka sita ucku zaidi cku za wknd uone respond yake ktk kipokea, na kujibu text. kila laheri
 
inategemea mmeanza uhusiano lini, labda ndo mmeanza hivi karibuni.mana girls wengine inawachukua muda kiasi kuwa in need na uwepo wako ila akishaangukia kwenye hiyo stage hata wewe utapenda tena unaweza kuhisi kero kiasi mana atakutafuta mpaka utahisi unakosa uhuru. so usimfikirie vibaya give her time and may be atafall mzima mzima kwako. ila kama unampenda kweli na akaja fall mzima mzima kwako uwe tayari kumlinda/kudumu naye maana hamna kitu kibaya kama msichana akikupenda jumla jumla halafu wewe umchoke utaona kero mpaka utakuja kuomba ushauri wa jinsi ya kumuacha. pia kama hatakuwa na muda na wewe na akashindwa kukupenda kama unavyompenda wewe basi omba mungu akupatie yule akufaaye.
 
hata mie kabla cjamzoea bf wangu nilikua sichat nae hadi akawa na wacwac na mm bt ukweli ni kwamba ckua na chakumwambia bt now anaipenda show coz hizo msg na callz ni za kutosha 2.
 
Niliwahi kukutana na situation kama hii, yaan hawa watu wa jinsia hii ya "ke" mi nilishashindwa kuwaelewa
 
Nipe namba! Mimi nitamchukua jumla" usichunguze bata sana vinginevyo hutamla amua faster
 
Hope you are all good as normal!wakuu,kuna binti mmoja nimetokea kumpenda na tayari nimemwambia kuhusu hisia zangu na amenikubalia.sasa linalonitia wasiwasi kuhusu huyu binti ni namna yake ya mawasiliano,yani yeye hapigi simu,hatumi texts wala kufanya chochote mpaka mimi nimuanze.nilimuulza kuhusiana na hyo tabia yake akaniambia tu eti yeye huwa ni mvivu wa mawasliano,wakati mwingne huwa nahisi labda vocha ni tatizo najaribu kumrechearge but atanitumia tu txt moja ya asante then anakua kimya.ila kinacho nishangaza kila ninapompigia cmu ananichangamkia vizuri,ananiambia alinimiss kwa muda wote ambao hajasikia sauti yangu na mengine mengi.sasa wakuu,nauliza,hvi hapa napendwa kweli au nalazimishia kupendwa tu,maana me nispoanzsha mawasliano na yeye anauchuna,nifanyaje?

Hivi wewe kwani kipimo cha upendo kwako ni kupigiwa au kupata text? kijana chunga sana hisia zako!
 
Hope you are all good as normal!wakuu,kuna binti mmoja nimetokea kumpenda na tayari nimemwambia kuhusu hisia zangu na amenikubalia.sasa linalonitia wasiwasi kuhusu huyu binti ni namna yake ya mawasiliano,yani yeye hapigi simu,hatumi texts wala kufanya chochote mpaka mimi nimuanze.nilimuulza kuhusiana na hyo tabia yake akaniambia tu eti yeye huwa ni mvivu wa mawasliano,wakati mwingne huwa nahisi labda vocha ni tatizo najaribu kumrechearge but atanitumia tu txt moja ya asante then anakua kimya.ila kinacho nishangaza kila ninapompigia cmu ananichangamkia vizuri,ananiambia alinimiss kwa muda wote ambao hajasikia sauti yangu na mengine mengi.sasa wakuu,nauliza,hvi hapa napendwa kweli au nalazimishia kupendwa tu,maana me nispoanzsha mawasliano na yeye anauchuna,nifanyaje?
Hulazimishi bali unafanya kile kinachotakiwa kufanya ili upendwe nawe kama unavyopenda wewe. Kila kitu kinataka msukumo, endelea tu atafunguka huyo!
 
Back
Top Bottom