Hivi hapa kuna mapenzi ya dhati au mapenzi ya cash?

kichomiz

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
19,011
11,942
ntuli3.jpg
ntuli2.jpg
Haka kajamaa kanaoa huyo mwanamama.

Sasa najiuliza je, ni kweli amekapenda kamshikaji au ni kujitoa kimasomaso a.k.a kutoa gundu? Maana huo mzigo naona kama ni over size
 
Back
Top Bottom