NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,286
- 24,001
Halima,Bulaya,Mbowe na Myika kwa ujumla wamepambana mpaka Covid-19 wameingia bungeni,na hawatotoka mpaka ligi iishe 2025.
Hawana ladha tena kitumbua kimeingia mchangaAre you serious? wataenda kukomalia sehemu nyingine nadhani.
Humujui Mbowe wewe, miliin 12 ni kitu gani kwake? Mutu amefungiwa account zake na kuhatibiwa biashara zake rakini hakumusujudia kayafa mwendazake Leo unaropoka ujingaSiasa ni ya ajabu sana wakati hili linashangaza watu wengi, yaani ukikumbuka nyuma ni ngumu kuitaja Chadema bila kumtaja Mdee lakini leo ni mamluki.
Chakushangaza zaidi kesho utasikia wako tena pamoja na wanatwambia hakuna adui wala rafiki wa kudumu ndani ya siasa.
Hata hivyo ninakaswali ka uzushi nachomekea tu, hivi jamani kwa mfano katika uchaguzi uliopita wangeshinda Mboe, Lema na Sugu pekeyao, mnadhani hawa majamaa wange susia bungeni? Yaani kuacha milioni 12 kilamwezi?
CAG aliona kuna tatizo kwenye hilo? MOU ya hayo mapatano unayo? Usiwe unaleta bla bla zenu za huko Lumumba.Mbona Ruzuku alikuwa kila ikiingia anakata 50m , kuwa ni deni la chama alilokopesha chama ,wajinga ndo waliwao
Sent from my SM-A015F using JamiiForums mobile app
Kwanini tuwasemee wakati haijatokea? Subiri siku ikitokea tutawajaji. Kwa sasa acha tuendelee na haio wasaliti Covid-19.Siasa ni ya ajabu sana wakati hili linashangaza watu wengi, yaani ukikumbuka nyuma ni ngumu kuitaja Chadema bila kumtaja Mdee lakini leo ni mamluki.
Chakushangaza zaidi kesho utasikia wako tena pamoja na wanatwambia hakuna adui wala rafiki wa kudumu ndani ya siasa.
Hata hivyo ninakaswali ka uzushi nachomekea tu, hivi jamani kwa mfano katika uchaguzi uliopita wangeshinda Mboe, Lema na Sugu pekeyao, mnadhani hawa majamaa wange susia bungeni? Yaani kuacha milioni 12 kilamwezi?
Hapana hapo bado ujaelewa kwa nin wakina mbowe / chadema kukataa matokeo. Ni kwamba kulingana na mazinvra ya uchaguzi ilivyo endeshwa hata kama hao nguli wa upinzani wangeshinda bado wangekuwa na doubts kubwa , Na sabbu kubwa ni kwa nn wasindwe wakt siasa ni watuSiasa ni ya ajabu sana wakati hili linashangaza watu wengi, yaani ukikumbuka nyuma ni ngumu kuitaja Chadema bila kumtaja Mdee lakini leo ni mamluki.