Hivi hakuna watoto waliomaliza form six humu....waliopata matokeo jana?

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,091
Nyie watoto mliomaliza form six na matokeo yenu kutoka jana hebu twambieni mmepata nini tuwape zawadi kama mmefanya vyema na tuwang'ong'e kama mmetokota
 
wtf.....!!!
Mh watu wengine bhana kama unaona thread fulani haikufai si unaendelea na nyingine! Sio lazima uonyeshe uwepo wako kwa kufanya yaliyo ya hovyo
 
Me nilimaliza mwaka juzi,ila nilirisiti.
Majibu yamekuja nimefaulu kwa kiwango cha Dv 1 ya point 7,
Nipe changu kabisa Musimo Jr!
 
Last edited by a moderator:
Me nilimaliza mwaka juzi,ila nilirisiti.
Majibu yamekuja nimefaulu kwa kiwango cha Dv 1 ya point 7,
Nipe changu kabisa Musimo Jr!
Dah kama uli resit inabidi kuwe na mjadala kidogo hapo ila kwanza hongera, kuhusu zawadi lazima nijue kwanza ulikuwa unafanya masomo mangapi nakadhalika maana "Terms and condition apply"
 
"Terms & condition apply?" kwani umeckia me Vodacom? Leta zawadi wewe@Musimo Jr
Halafu badili kauli yako,sisi sio watoto,
Form six watoto? Wewe angalia....!! Utaumia.
 
"Terms & condition apply?" kwani umeckia me Vodacom? Leta zawadi wewe@Musimo Jr
Halafu badili kauli yako,sisi sio watoto,
Form six watoto? Wewe angalia....!! Utaumia.
Form six wa siku hizi wengi ni under 18, labda wale ambao wanafanya kwa mara nyingine (Kama wewe)

Terms & Condition Apply
 
Ning'ong'e kimya kimya watu wasijue! Inauma to be a looser! Bt hakuna am nat a looser bwana.

walikuwepo wengi humu wakiajiapia kufaulu! Sasa nashangaa hakuna anayekuja na kutuambia NIMEFAULU,NIMEPATA..... NAKWENDA KUSOMA....,,Zaidi ya wale kwenye jukwaa la elimu wanaowaombea ndugu zao wenye 15,16 nk ushauri. Nyie watoto njooni tusherekee pamoja basi!
 
Nyie watoto njooni tusherekee pamoja basi![/QUOTE]

kwangu hakuna kusherekea ni matanga ya arobain 2
 
Ning'ong'e kimya kimya watu wasijue! Inauma to be a looser! Bt hakuna am nat a looser bwana.
You are not a looser and you are never gonna be a looser unless you choose to be a looser........kwa minajili hiyo sikung'ong'i tena
 
wa kwanza huyo Musimo,twendelee kuhesabu....
Tena tuwawekee list yao kabisa wawe wanajiona kama ile sheria ya makosa barabarani ukifanya kosa aka ukimnyima trafik mshiko anakukata points
 
Back
Top Bottom