Hivi hakuna umuhimu wa kuweka bango kwenye kiwanda kuonesha kinashughulika na nini?

kissa anyigulile

JF-Expert Member
Apr 21, 2017
1,550
1,733
Members poleni na mihangaiko.
Ndio tumetoka Kyela tunaitafuta Uyole. Njiani tulikuta kiwanda kizuri sana! Tukasimama kidogo. Tukaangalia-angalia ili kujua ni kiwamda cha nini, daa! hatukuona bango lolote.
Mara mlinzi akaja na kutuuliza shida yetu. Tukamweleza.
Jibu: "Ahaa hiki ni kiwanda cha kitu fulani"
Tukauliza: "Si mngeweka bango basi, ili tusiwasumbue kuuliza-uliza?"
"Aaa! sijui wenyewe. Ila viwanda vyao vyote huwa hawaweki"
Tukaondoka kimyakimya.
 
Ni sheria kila ofisi kuwa na bango linaloonyesha jina la ofisi.nadhani itakuwa pia ni sawa na kwa viwanda.sema wale NEMC watawaendea tu pale utakapojitokeza uchafu.Otherwise hili ni la viwanda na biashara
 
Back
Top Bottom