Hivi hakuna tamko la kurudisha ndugu zetu walioko libya' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi hakuna tamko la kurudisha ndugu zetu walioko libya'

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by FredKavishe, Feb 23, 2011.

 1. F

  FredKavishe Verified User

  #1
  Feb 23, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Inashangaza sana hakuna tamko lolote nirisubiria tunisia nikaona serikali ya kishikaji imekaa kmya ikaja mirsi wakaziba pamba masikino'sasa libya wamefungulia muziki wanacheza hawana habari au hatuna raia huko membe kazi yake nini'o kupiga kampeni 2015'tuache mzaa
   
Loading...