Hivi hakuna sheria juu ya hizi pikipiki zinazopiga kelele kupita kiasi?

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,889
Wakuu kuna hizi pikipiki ambazo zinapiga kelele kiasi kwamba kama mnaongea inawabidi msimame kama dk moja hivi. Mi binafsi zinanikera sana. Bahati mbaya sehemu ninayokaa ni karibu na barabara, hizi zimekuwa kero kubwa sana.

Wengine nao wana hutu tusport car, wanapiga nato kelele balaa.

Hivi hakuna sheria zinazouia hili suala?
 
Hizo bodaboda wana vunja shelia ila kuna zingine ndio zipo ivo ivo. Hawavunji sheria.
 
Back
Top Bottom