Hivi hakuna njia nyingine ya kutumia maabara kufanya stool test zaidi ya hii ya kupima kinyesi?

Sio ubishoo ,shida ni mazngir yaliyop katk vyoo vya mahospital mkuu,, sio conducive kabsa kwa mtu kuchukua kinyes,,, ebu imagin umeingia choon zen unakuta mtu kashush mzigo halafu maji hakuna,,, na ww kwa sabb unajiskia vbay unashush wako pembn zen unachota kidg,, je hapo huon km ni kujitafutia infection zisizokua za lazma…?!!
Kua mbunifu sio lazma ushush mzigo ndo uchote unaweza ukachota wakat mzigo bado una ning'inia haujafika chini.teh teh teh teh.
 
Anaendelea na kazi uzur huwa inatokea for sometime,kuna kipind anakaa muda mrefu tu bila kumtokea hiyo hali...mwenyew anakuambia gesi ikijaa tumboni aki.....mba hiyo haruf yake ni balaa.
Sasa si ataishia kupigwa bomba na msumari wa nyama a.k.a Abdallah Kichwa wazi?
 
Hahahaha umenikumbusha mbali sana , go back 2013 nilikuwa nasumbuliwa tumbo nikaenda hospital ya serikali nikaambiwa hamna kipimo ikabidi niende aga khan kufika kule hiyo bei ya kufanya stool analysis nikachoka ila nikasema any way bora uzima si ndo nkapewa kikopo halafu nikaambiwa nikaweke vi mavi mule kufika toilet sasa huku nikikumbuka hela niliyotozwa nikalidabua bonge la jivi nikalijaza kwenye kikopo ila nafika na kumpa dada wa maabara ile kufungua tu akakutana na mzigo wa kutosha akafura kwa hasira na kusema sasa nani kakwambia ujaze hivi mimi nikamwambia kwani uliniambia niweke kiasi gani huku nikifurahia hela yangu watakula lakini kwa mbinde
 
Halafu ukifikiria vyoo vya mahospital vingi huwa vichafu sana na vimefurika kinyesi mpaka juu na wewe unaingia kunya humo halafu unapakua mavi unaweka kwenye kikopo au kibiriti.!
Na ukinisahau kidogo wakati umechuchumaa "sarawili" inaweza kugusa chini ikagusa ule ubichiubichi wa mikojo,mavi na mate/makohozi/ matapishi ya wagonjwa wengine
Inabidi wabadilishe watupe mapoti kabisa kama watoto
 
Mimi huwa nakasirika najaza kiberiti. Siku moja mpimaji akaniita eti nikapunguze.nikamwambia yeye ndio anaejua anaitaji gramu ngapi. Hivyo akapunguze mimi nangojea majibu. Waliniita wa mwisho saa nane toka saa tatu.
 
Hahahaha umenikumbusha mbali sana , go back 2013 nilikuwa nasumbuliwa tumbo nikaenda hospital ya serikali nikaambiwa hamna kipimo ikabidi niende aga khan kufika kule hiyo bei ya kufanya stool analysis nikachoka ila nikasema any way bora uzima si ndo nkapewa kikopo halafu nikaambiwa nikaweke vi mavi mule kufika toilet sasa huku nikikumbuka hela niliyotozwa nikalidabua bonge la jivi nikalijaza kwenye kikopo ila nafika na kumpa dada wa maabara ile kufungua tu akakutana na mzigo wa kutosha akafura kwa hasira na kusema sasa nani kakwambia ujaze hivi mimi nikamwambia kwani uliniambia niweke kiasi gani huku nikifurahia hela yangu watakula lakini kwa mbinde
 
Halafu ukifikiria vyoo vya mahospital vingi huwa vichafu sana na vimefurika kinyesi mpaka juu na wewe unaingia kunya humo halafu unapakua mavi unaweka kwenye kikopo au kibiriti.!
Na ukinisahau kidogo wakati umechuchumaa "sarawili" inaweza kugusa chini ikagusa ule ubichiubichi wa mikojo,mavi na mate/makohozi/ matapishi ya wagonjwa wengine
Wapewe watu tenda ya kusafisha vyoo vya mahospitali
 
Habarin ndgu zangu…!

nimkaa nikajifkiria hivi hakuna njia nyingin ya kupimwa choo(stool test) maabara zaidi ya hii inayotumika saiz ambapo mtu unapewa kikopo uend nacho choon zen uweke kinyesi kweny kikopo nd ukirudishe maabara wakupime…!!

kiukwel leo nlkua najihisi hali si shwari nkaamua kwend kupim,, nikaambiwa nipime choo,nd nkapewa kikopo nikalet kinyes, kwa kwel kweny uchotaj wa kile kinyesi nmejiuliza meng yalonishnda kuyajib

Labd kwenu ndgu zangu huwa mnalichukuliaj hili swala la kuchota kinyesi na kukiwek kweny kikopo,, zaman tulkua tukitumia viberit ila sifaham km huu utartb bdo upo…!!

Swali langu ni je hakuna uwezkano labda wa kutumia sample nyngin tofaut na kinyesi ili kupima dalili ya kitu ulichokielezea,,,mfano mtu anaharisha labda wapime damu ili kupata tatizo,,, !!!

Nawasilisha……!!!
Ww hutaki kuchota mavi yako kwa nn? Ukiambiwa waingize pipe mpaka kwenye utumbo utakuwa tayari? Mavi tuu ndio njia ya kujua kama kuna minyoo au bakteria kwe utumbo. Mavi tuu usiyaogope ni yako.
 
Ww hutaki kuchota mavi yako kwa nn? Ukiambiwa waingize pipe mpaka kwenye utumbo utakuwa tayari? Mavi tuu ndio njia ya kujua kama kuna minyoo au bakteria kwe utumbo. Mavi tuu usiyaogope ni yako.
Sawa mkuu mavi ni yangu ila yakiwa kweny large intestine,,, yakishatok sio yangu tena hiyo inakuw ni uchafu mkuu…!!
 
Back
Top Bottom