Umekula malimao mkuu?! Hahahahahaaa ngoja watu wazisome tarakimu!!! Walidhani watazisoma ukawa pekee yaoKama kuna yoyote arudshe cku ya uchaguz nirudi nikafute tiki niliyompa mkulu...bora nikamwekee rungwe
Nyoka hana rivasiKama kuna yoyote arudshe cku ya uchaguz nirudi nikafute tiki niliyompa mkulu...bora nikamwekee rungwe
kutokumchagua kwako kumebadilisha nini..?Bora mie sikumchagua ningejuta sana