Hivi hakuna mtu mwenye uwezo wa kurudisha tareh 25 Oct.15

Mkomola

Member
Oct 20, 2017
54
60
Kama kuna yoyote arudshe cku ya uchaguz nirudi nikafute tiki niliyompa mkulu...bora nikamwekee rungwe
 
Mie najuta sana sikupata fursa ya kupiga kula baada ya kukwepana na tume ya uchaguzi (NEC) nilipofika eneo langu la kujiandikishia zoezi ndo lilikuwa limefungwa lakini kula yangu ningempa Mh.Magu yawezekana kula yangu ingeongeza na kunogesha mwendo kasi (Speed) kama jinsi mambo yalivyo bam bam hadi raha kwakweli
 
Back
Top Bottom