Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 14,840
- 31,583
Hello JF
Nilikua nauliza kama hizo nafasi za ubalozi haziwezi kwenda kwa wanadiaspora??
Moja mimi naona sincerely hakuna kazi wanayofanya mabalozi wetu zaidi ya kututatulia matatizo ya passports na migogoro midogo midogo...most times wako Free..sasa sio mbaya lakini tungepata better ways ya kuspendi kodi za watanzania ingekua vyema..
Serikali Ifanye kurecruit watu ambao pamoja na kusolve migogoro ya kidiplomasia na passports,,pia wangefanya mengine kama kuleta ujuzi na uwekezaji...kazi hizi zinamfaa mwana diaspora sababu wengi wamekulia Tanzania wanajua hussles za kila siku na pia wamekaa ulaya so wana understand wapi tuna Gap...
Najua labda itakua ngumu as karibu kila nchi ina mabalozi ila naomba tulifikirie mara mbili, mabalozi nchi zoooote tumewaweka kitu gani tangible kimeweza kufanywa na hao mabalozi mkakiona for years now???
Tafuta wataalam wanadiaspora waliosoma Teknolojia,Biashara na Kilimo uanze kuna fursa mkuu Magufuli...
Vipi hapooo?? Becky nimechemka?